Allysa Campanella mwenye umri wa miaka 21 ameshinda taji la miss U.S.A 2011 akiwa anawakilisha jimbo la California, shindano hilo la urembo lilifanyika Las Vegas siku ya jumapili 19 juni 2011. Allysa alivalishwa taji hilo la urembo na mrembo aliemaliza muda wake Rima Fakih. Allysa alizaliwa na kukulia New Jersey, ambapo mwaka 2007 aliiwakilisha New Jersey katika mashindano ya urembo ya Wasichana wadogo, Allysa sasa ataiwakilisha U.S.A katika mashindano ya urembo ya dunia yatakayofanyika Sao Paulo,Brazil 12 septemba 2011.
Monday, July 11, 2011
HYDERABAD THE CITY OF PEARLS
Hyderabad is the capital of the state Andhra Pradesh, India.
Hyderabad is known for its rich history and culture.
Hyderabad is called the city of Pearls and City of Nizams
Hyderabad is called the city of Pearls and City of Nizams
Telugu and Urdu is spoken mostly in City of Hyderabad.
It is a hub of information technology, ITES and biotechnology.
Hyderabad and Secunderabad are twin cities, separated by
the Hussain Sagar, a man-made lake made during the time of
Ibrahim Qutub Shah in 1562.
As of 2010 it is the sixth most populous city and sixth-most
populous urban city in India.
populous urban city in India.
Hyderabad was founded by Muhammad Quli Qutb Shah in 1591
on the banks of Musi river.
Today the city covers an area of approximately 650 km.
The twin cities of Hyderabad and Secunderabad come under
the single municipal unit, The Greater Hyderabad Municipal Corporation.
Hyderabad has developed into one of the major hubs for
the information technology industry in India.
It also got a major attraction of Cyberabad or Hitech city
because of Presence of Software Technology Industry.
It also have various Biotechnolgoy and Pharmaceutics companies
have set up their opeations in Hyderabad owing to its
established public sector in life science Research.
The city houses the most expensive and posh residential real estate
in Andhra Pradesh in Banjara Hills and Jubilee Hills.
The city is home to the Telugu Film Industry, the second-largest in India,
known popularly as Tollywood.
Residents of Hyderabad are generally called Hyderabadis.
Located at the crossroads of North & South India,
Hyderabad has developed a unique culture that is reflected
in its language and architecture.
Charminar, Hyderabad
High Courth of Andha Pradesh, Hyderabad India
Osmania Hospital Hyderabad
Golconda Fort Hyderabad
Legislative Assembly, Hyderabad
Qutub Shahi Tombs Hyderabad
Ramoji Flimcity Hyderabad
Chowmahalla Palace, Hyderabad
Falaknuma Palace, Hyderabad
Salar Jung Museum, Hyderabad
Nehru Zoological Park, Hyderabad
Gachi Bowli Stadium Gachi Bowli Hyderabad
Beautiful Evening Sunset at Hyderabad City
Enjoy the fun at Prasad Imax Multiplex Having Shopping Malls
TCS Campus Hyderabad
Birla Temple Marble Wonder Hyderabad
Cyber Towers, Hitech City, Hyderabad
Dell Campus,Hitech City, Hyderabad
HSBC Campus Hyderabad
Panoramic View from the Viceroy Tankbund
and Hussain Sagar in the backdrop
IBM Campus Hyderabad
I Labs Campus Hyderabad
Infosys Campus Hyderabad
Infotech Enterprise. Hyderabad
Indian School of business ISB- Hyderabad
Microsoft Indian Devolopment Center Only one ouside
the US Manikonda Hyderabad
Motorola Call up Center, Hyderabad
Novotol Campus Hyderabad
Cyber Towers Hitech City Hyderabad during night.
Beauty of Tank and Hussain Sagar
Basking IT Glory Raheja Mindspace, Cyberabad,Hyderabad
Hyderabad_airport_full
Cyber Gateways at Night, Hyderabad
YANGWA BINGWA KOMBE LA KAGAME
Mabingwa wa soka Tanzania Dar Young Afrikans (Yanga) wametwaa kombe la kagame baada ya kuwalaza watani wao wa jadi Simba kwa bao moja kwa uchungu katika fainali iliyopigwa katika dimba kuu la Taifa siku ya jumapili 10 julai 2011.
Katika fainali hiyo mchezo ulikuwa mzuri na wa kuviziana kwa dakika zote za mchezo,Yanga waliandika bao katika dakika ya 71 kipindi cha kwanza baada ya Kiiza kuunganisha kwa kichwa krosi iliyopigwa na Godfrey Taita lakini mshika kibendera alikataa kwa kudai kuwa mfungaji alikuwa ameotea,baada ya dakika 90 ziliongezwa dakika 30 na katika kipindi cha pili cha dakika za nyongeza alikuwa ni Rashid Gumbo aliemimina majaro safi iliyomkuta Asamoah ambaye bila ajizi alipeleka msiba Msimbazi kwa bao safi la kichwa na kumuacha golikipa Tanzania one Juma kaseja akichumpa bila mafanikio.
Katika fainali hiyo mchezo ulikuwa mzuri na wa kuviziana kwa dakika zote za mchezo,Yanga waliandika bao katika dakika ya 71 kipindi cha kwanza baada ya Kiiza kuunganisha kwa kichwa krosi iliyopigwa na Godfrey Taita lakini mshika kibendera alikataa kwa kudai kuwa mfungaji alikuwa ameotea,baada ya dakika 90 ziliongezwa dakika 30 na katika kipindi cha pili cha dakika za nyongeza alikuwa ni Rashid Gumbo aliemimina majaro safi iliyomkuta Asamoah ambaye bila ajizi alipeleka msiba Msimbazi kwa bao safi la kichwa na kumuacha golikipa Tanzania one Juma kaseja akichumpa bila mafanikio.
Asamoah muuaji katika fainali hiyo
Timu hizo zilikuwa zikikutana kwa mara ya tatu katika fainali hizo za CECAFA ambapo fainali ya kwanza ilikuwa mwaka 1975 katika uwanja wa Amani Zanzibar na yanga kuichapa Simba 2-0, zilikutana tena mwaka 1992 ambapo katika uwanja huohuo wa Amani Simba ililipa kisasi kwa kuilaza Yanga kwa penati 5-4 baada ya kutoshana nguvu 1-1 katika dakika 120, hivyo ushindi wa Yanga jana unachukuliwa kama kulipa kisasi cha miaka 20 iliyopita. Kwa ushindi huo Yanga wamelamba dola 30,000 na watani wao Simba wakiambulia dola 20,000 za ushindi wa pili.
Subscribe to:
Posts (Atom)