Mikwaju ya Penalti
Thursday, January 23, 2014
PAPA AFUNGUKA INTERNET NI ZAWADI KUTOKA KWA MUNGU
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis amesema kuwa Internet ni zawadi kwa dunia nzima kutoka kwa Mungu lakini akaonya kuwa matamanio ya kutaka kuwasiliana zaidi kutumia Internet kunawatenga watu kutoka kwa familia na marafiki zao.
Amewataka waumini wa kikatoliki kujiunga na mfumo wa dijitali. "Internet... inatoa nafasi ya mafanikio mengi. Hiki ni kitu kizuri bila shaka ni zawadi kutoka kwa Mungu,'' alisema Papa.
Katika ujumbe wake kwa dunia nzima ambao hutolewa kila mwaka, Papa amesema kuwa mfumo wa dijitali, unapaswa kuwa mtandao wa watu wala sio nyaya tupu.
Papa mwenyewe ana akaunti kwenye Twitter ambayo ina wafuasi zaidi ya milioni kumi.
Amehimiza kuwa mawasiliano yanapaswa kuhusisha hisia na mawazo, watu kukutana na kujuliana hali.
Kadhalika amewataka waumini wa kikatoliki kutodhani kuwa ni mawazo yao na imani zao pekee ambazo ni muhimu wakati wakiwasiliana na watu wa dini nyinginezo.
JUSTIN BIEBER AKAMATWA NA POLISI JIJINI MIAMI
Justin Bieber
Bieber leo asubuhi amekamatwa jijini Miami na Polisi wa jiji hilo kwa kuendesha gari wakati akiwa "bwax".
Justin Bieber alikamwatwa akiendesha Lamborgini ya njano katika mitaa ya Miami huku amelewa yaani bwaaaaxxx!! Soma zaidi juu ya msala huu wa Bieber
Justin Bieber
ASHA MUHAJI APEWA SHAVU SIMBA SPORTS CLUB EZEKIEL KAMWAGA KATIBU MKUU MPYA
Ezekiel Kamwaga katibu mkuu mpya Simba Sports Club
Asha Muhaji Afisa habari mpya Simba Sports Club
Ezekiel Kamwaga amepandishwa cheo na kuwa katibu mkuu mpya wa Simba Sports Club kuchukua nafasi ya Evodius Mtawala ambaye amepata shavu TFF na hivi sasa ni mkurugenzi wa wanachama na sheria.
Wakati Ezekiel akipata shavu hilo nafasi yake imechukuliwa na Asha Muhaji.
Asha Muhaji Afisa habari mpya Simba Sports Club
Ezekiel Kamwaga amepandishwa cheo na kuwa katibu mkuu mpya wa Simba Sports Club kuchukua nafasi ya Evodius Mtawala ambaye amepata shavu TFF na hivi sasa ni mkurugenzi wa wanachama na sheria.
Wakati Ezekiel akipata shavu hilo nafasi yake imechukuliwa na Asha Muhaji.
JUAN MATA ATUA MANCHESTER UNITED
Chelsea have accepted a £37million bid for Juan Mata and immediately released the Spanish international to join Manchester United
Juan Mata
Chelsea have accepted a £37million bid for Juan Mata and immediately released the Spanish international to join Manchester United to complete the most dramatic deal of the transfer window.
Mata will undergo a medical on Thursday at United before completing the move that will see him more than double his £70,000-a-week Chelsea salary at Old Trafford.
Chelsea have been braced for a bid since Monday for Mata and finally received the offer triggering their acceptance and the release of the player.
The Premier League club are not expecting the 25-year-old to return to them and have already made plans for his replacements. A medical has been booked in for Thursday for Mata and personal terms accepted.
United chose a slightly unusual route to lodge their bid, using intermediaries, but Chelsea have accepted the offer as an official one and manager Jose Mourinho has sanctioned the move.
Subscribe to:
Posts (Atom)