Saturday 6th August | |
---|---|
20:00 | AC Ajaccio vs Toulouse |
20:00 | AS Nancy vs Lille |
20:00 | Brest vs Evian TG |
20:00 | Caen vs Valenciennes |
20:00 | Marseille vs Sochaux |
20:00 | Montpellier vs Auxerre |
20:00 | Nice vs Lyon |
20:00 | PSG vs Lorient |
Sunday 7th August | |
16:00 | Dijon vs Rennes |
20:00 | Bordeaux vs St Etienne |
Saturday 13th August | |
18:00 | Lorient vs Bordeaux |
18:00 | Lyon vs AC Ajaccio |
18:00 | Rennes vs PSG |
18:00 | Sochaux vs Caen |
18:00 | St Etienne vs AS Nancy |
18:00 | Toulouse vs Dijon |
20:00 | Valenciennes vs Brest |
Sunday 14th August | |
16:00 | Auxerre vs Marseille |
16:00 | Evian TG vs Nice |
20:00 | Lille vs Montpellier |
Tuesday, July 26, 2011
RATIBA LEAGUE 1 (UFARANSA) AGOSTI 6-14
RATIBA BUNDESLIGA AGOSTI 5-AGOSTI 20
Friday 5th August | |
---|---|
19:30 | Borussia Dortmund vs Hamburg |
Saturday 6th August | |
14:30 | Augsburg vs SC Freiburg |
14:30 | Cologne vs Wolfsburg |
14:30 | Hannover 96 vs TSG Hoffenheim |
14:30 | VfB Stuttgart vs Schalke 04 |
14:30 | Werder Bremen vs FC Kaiserslautern |
17:30 | Hertha Berlin vs Nurnberg |
Sunday 7th August | |
14:30 | Mainz vs Bayer Leverkusen |
16:30 | Bayern Munich vs Borussia M'gladbach |
Saturday 13th August | |
14:30 | Hamburg vs Hertha Berlin |
14:30 | Nurnberg vs Hannover 96 |
14:30 | SC Freiburg vs Mainz |
14:30 | Schalke 04 vs Cologne |
14:30 | TSG Hoffenheim vs Borussia Dortmund |
14:30 | Wolfsburg vs Bayern Munich |
17:30 | Borussia M'gladbach vs VfB Stuttgart |
Sunday 14th August | |
14:30 | FC Kaiserslautern vs Augsburg |
16:30 | Bayer Leverkusen vs Werder Bremen |
Friday 19th August | |
19:30 | Borussia M'gladbach vs Wolfsburg |
Saturday 20th August | |
14:30 | Augsburg vs TSG Hoffenheim |
HOFFENHEIM KUIPIKU CELTIC KUMSAJILI MUSONA TOKA KAIZER CHIEFS
Timu ya Hoffeinheim ya Ujerumani ina matumaini makubwa ya kuizidi kete klabu ya Celtic ya Uskotchi katika mbio za kumuwania mshambuliaji mzimbabwe Musona mwenye umri wa miaka 21 anaekipiga Kaizer Chiefs ya kusini mwa afrika.
Musona
Katika ligi ya Afrika ya kusini iliyoisha Musona aliweka rekodi ya kufunga magoli 15 katika mechi 28 alizocheza katika ligi hiyo na kishawishi Celtic kutangaza ofa ya dau la paundi za Uingereza 2.2 milioni ili kumsajili mchezaji huyo. Lakini wajerumani wanaona Musona ndio chaguo sahihi katika kuziba pengo la Mghana Prince Tagoe waliemtoa kwa mkopo kwenda Partizan Belgrade baada ya kutofanya vizuri tangu alipojiunga na timu hiyo mwaka 2009 akiwa amefunga magoli mawili tu katika mechi 19 alizocheza katika ligi hiyo ya Ujerumani maarufu kama "Bundesliga" Ingawaje matumaini ya kumnasa Musona yanaweza kufifia kutokana na ukweli kuwa timu ya Hoffeinheim imetangaza dau dogo la paundi za Uingereza 1.3 milioni ukilinganisha na dau lililotolewa na Celtic la paundi za uingereza 2.2 milioni.
MANCINI ANA MATUMAINI YA KUMNASA SERGIO AGUERO
Meneja wa Man City Roberto Mancini amefunguka na kusema kuwa ana matumaini makubwa ya kumnasa Sergio Aguero kutoka Atletico Madrid mwishoni mwa wiki hii. Man C inafungua milango ya maongezi na Atletico Madrid kwa kuwa Srgio amekuwa ni mmoja kati ya wachezaji anaowahitaji katika kikosi chake.
"Nafikiri kati ya siku nne au tano kabla ya mechi inayofuata,na inaweza kuwa wiki hii tukamaliza mazungumzo"Alioneza Mancini.
"Aguero amecheza Copa America, kama tukikubalina nataka nizungumze nae mwenyewe kwasababu nataka nijue maoni yake(kuhusu kucheza Manchester City)" Alifunguka zaidi kocha huyo wa Manchester City.
Sergio Aguero
Pamoja na upinzani uliopo kutoka kwa Real Madrid na Juventus ambao nao wanatajwa kumuwania Sergio lakini Mancini ana matumaini ya kushinda kinyang'anyiro hicho mwishoni mwa mwezi huu."Sielewi kwa sasa lakini ninachojua Atletico walikuwa na maongezi na Sergio kabla ya mwisho wa wiki" alisema Mancini."Nafikiri kati ya siku nne au tano kabla ya mechi inayofuata,na inaweza kuwa wiki hii tukamaliza mazungumzo"Alioneza Mancini.
"Aguero amecheza Copa America, kama tukikubalina nataka nizungumze nae mwenyewe kwasababu nataka nijue maoni yake(kuhusu kucheza Manchester City)" Alifunguka zaidi kocha huyo wa Manchester City.
ASTON VILLA YAKUBALI KUTOA DAU KUMNYAKA N'ZOGBIA TOKA WIGAN
Charles N'zogbia
Aston Villa imefungua milango ya maongezi na Wigan Athletic juu ya kumsajili Charles N'zogbia mwenye umri wa miaka 25 na imekubali kulipa ada ya uhamisho ya paundi za uingereza 9.5 milioni. Meneja wa Villa Alex Mc Leish ameridhishwa na kiwango cha N'zogbia na timu yake imeamua kufanya mazungumzo rasmi na Wigan ili kumsajili mchezaji huyo. Habari kutoka ndani ya klabu ya Villa zinasema pesa ipo ya usajili baada ya kumuuza Ashley Young kwenda Man United na Stewart Downing kwenda Liverpool zote za uingereza, kabla ya kusaini mkataba mrefu ndani ya Villa N'zogbia anatarajiwa kwanza kufanyiwa vipimo vya afya.
FERGUSON ASEMA AMERIDHIKA NA WACHEZAJI KWA SASA
Kocha wa Manchester United Sir Alex Ferguson anasema hatomsajili mchezaji yoyote hadi pale watakapokabiliana na majirani zao Manchester City katika uwanja wa Wembley.
Sir Alex Ferguson
Tayari ameshamsajili Ashley Young, Phil Jones na mlinda mlango David de Gea.
Subscribe to:
Posts (Atom)