
Ndege anayomiliki Adebayor

Adebayor akiwa amekaa juu ya moja kati ya magari anayoyamiliki

Hivi ni vyombo anavyovimiliki Straika Adebayor

Hapana chezea Adebayor ndani ya Motorcycle ya nguvu

Bwawa la kuogelea katika nyumba anayoimiliki Adebayor..kwa mbaaaaaali namuona anayadiba maji.

Aje ajeee...........


Katika pozi na ndinga lake

Safari za hapa na pale hazimpi shida anakwea kapipa kake huyooooooooooooooo

Viatu vya mitoko ya hapa na pale..chezea Adebayor weeee