Wednesday, March 5, 2014
WHATSAPP KUANZA KUPIGA SIMU BAADA YA KUNUNULIWA KWA DOLA 19 BILIONI
Mambo mengine ni rahisi kunena kuliko kuandika.Baada ya Facebook kununua
mtandao wa kutuma ujumbe mfupi, Whatsapp kwa bilioni 19 dola za
kimarekani, sasa huduma hiyo itaanzisha huduma za kupiga simu baadaye
mwaka huu.
SINGAPORE MJI GHALI ZAIDI DUNIANI 2014
Singapore umetajwa kuwa mji ghali zaidi duniani kuishi kwa mwaka 2014 na kuipiku miji mingine 131...Utazame nji huu matata na wa maraha.
Park Royal Tower Hotel
http://jobnpay.com/?id=Khalidjeff
Subscribe to:
Posts (Atom)