1-Youssou Ndour
Youssou Ndou ndiye mwanamuziki
tajiri zaidi barani Africa. Mshikaji anamiliki kituo kikubwa zaidi binafsi cha
luninga nchini Senegal, kampuni ya magazeti na kituo cha
radio.
Anamiliki pia Klabu ya Usiku(night
club) na record label. Anamiliki kampuni ya nyumba na makazi. Mwaka 2004 jarida
la Rolling Stone lilimwelezea kama mwanamuziki maarufu zaidi nchini Senegal na
pengine barani Afrika aliye hai.
Tangu April 2012, ni
waziri wa utalii na utamaduni nchini Senegal.
2-P Square
Hakuna msanii wa
kizazi cha leo anaeweza kugusa matawi ya mapacha hawa, Peter na Paul Okoye. Wana
hela chafu!
Wanachaji dola 250,000 kwa kila show ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 390 za Tanzania! Kuongezea msumari zaidi hapo ni kwamba hawa Washkaji wana show kila weekend! Mpaka sasa hivi wameshafanyiwa booking ya kufanya show sehemu mbalimbali duniani hadi March mwakani!
Nyumba yao waliyoipa jina la Squareville huko Ikeja Nigeria ina thamani ya dola milioni 3 ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 4.

Waliweka historia kwa
kuwa wasanii wa kwanza kununua kiwanja kwenye eneo la Banana Island nchini
Nigeria ambacho kina thamani ya zaidi ya dola milioni 3 pia!
Wana mkataba wa miaka mitatu na kampuni ya pili kwa ukubwa ya simu nchini Nigeria ya Globacom wakiwa kama mabalozi wake ambapo hulipwa dola milioni 1 kwa mwaka, wanamiliki pia mijengo kibao ya kupangisha.Ucpime jipangeee!

3-D Banj
Mnigeria huyu aliye
chini ya label ya Kanye West, G.O.O.D Music, alitengeneza takriban dola milioni
5 kwenye kampeni ya rais wa Nigeria Goodluck Jonathan.
Anamiliki jina la ‘Koko’ linalojumuisha klabu bora za Nigeria za KokoLounge, maji ya kunywa Koko Water na Koko Mobile.
Aliwahi kufanya reality show ya TV iitwayo Koko Mansion na kulipwa dola milioni 1.Anamiliki nyumba yenye thamani ya dola milioni 1.5 jijini Atlanta. Ni mwenyekiti mtendaji wa Dbanj Records na pia ana kampuni ya ulinzi iliyofanikiwa sana.
Yeye hucharge dola 100,000 kwa show.

Mfalme wa Lingala Koffi
anacharge tabriban Euro 100,000 kwa show. Jamaa hupiga show nchini Ufaransa
zinazojaza karibu watu 80,000 ambapo tiketi moja ni Euro 30 sawa na shilingi
elfu 60.Amekwishatoa albam
zaidi ya saba ambazo zimemuingizia mamilioni ya dola.
5-Salif Keita
Salif Keita ukipenda unaweza kumuita
‘Sauti ya dhahabu ya Africa’, ni miongoni mwa watu wanyenyekevu lakini matajiri
sana barani Afrika.Msanii huyo albino
anamiliki kisiwa chake binafsi nchini Mali.Anamiliki majumba na
mali zingine nchini Ufaransa na Mali.
6-Fally Ipupa
Msanii huyu
anajulikana kama ‘Mfalme mpya wa Lingala’ wa DRC. Kutoka kuwa mcheza show wa
zamani wa Koffi Olomide, anasifika kwa kuleta usasa zaidi kwenye muziki wa
Lingala. Ameshakuwa balozi wa
brand nyingi za nguo nchini Ufaransa, concerts zenye gharama na kuuza kopi kibao
za albam zake.
7-2 face idibia
Msanii huyu wa Nigeria
anamiliki nyumba za kupangisha zenye gharama ya zaidi ya shilingi bilioni
7.Hulipwa kuanzia dola
50,000 - 80,000 kwa show.namiliki pia klabu ya
usiku ya nguvu na biashara zingine zinazomuingizia hela nyingi.
8-Hugh Masekela
Huyu ni miongoni mwa
wanamuziki wa Jazz wanaoheshimika zaidi barani Africa. Anamiliki mobile studio
yenye mafanikio makubwa nchini Botswana. Hushiriki kwenye matamasha makubwa
duniani na huingiza mamilioni ya dola kutokana na mauzo ya albam
zake.
9-Banky W
Ukiweza muite Mr.
Capable pia. Banky W hufanya show mara tatu ama nne kwa wiki zinazomuingiza
mshiko mrefu mno. Aliwahi kuwa balozi wa kampuni ya simu ya Estisalat ya Nigeria
ambapo alitumika kwenye matangazo yake.
Kwa sasa ni balozi wa Samsung Mobile. Amewahi kufanya kampeni ya Coca Cola-Nigeria na Microsoft’s Anti-cyber Crime Initiative.
Kwa sasa ni balozi wa Samsung Mobile. Amewahi kufanya kampeni ya Coca Cola-Nigeria na Microsoft’s Anti-cyber Crime Initiative.
Kutokana na kuingiza
hela nyingi amenzisha mradi kuwasaidia wasiojiweza kwa kuwalipia ada watoto
wenye uwezo darasani chini ya Mr. Capable Foundation.
10-Chameleone
Mzee wa Valuvalu
anafunga list kwa kuwa msanii mwenye hela zaidi kuliko wote Afrika
Mashariki.Anamiliki gari
Cadillac Escalade yenye thamani kubwa, Mercedes Benz ML 320, Super Custom,
convertible na Premio.
Anaishi kwenye nyumba yenye gharama kwenye maeneo ya wazito huko Seguku Hill kwenye viunga vya Kampala, simu zake mwenyewe na mali zingine nyingi.
Anaishi kwenye nyumba yenye gharama kwenye maeneo ya wazito huko Seguku Hill kwenye viunga vya Kampala, simu zake mwenyewe na mali zingine nyingi.
Matumizi ya nyimbo
zake yanamuingiza mamia kwa maelfu ya Euro!