Peter Cech akimkabili Ozil asilete maafa langoni mwa Chelsea
Kama kawaida yake mzee wa kukosa magoli kizembe,Oliver Giroud akishika bichwa lake.
Kazi kati ya Sagna na Schurrell
Hapa ni ubabe time baada ya magoli kushindwa kupatikana, misuli sasa weweeee
Lampard weweeeee...aaagh chupuchupu Lampard awatie njaa Arsenal shuti kali limegonga mwamba.
Zamu ya Walcott na Willian kupimana ubavu.
ARSENAL 0-0 CHELSEA