Friday, July 8, 2011

SIMBA DUME LA MBEGU LATINGA FAINALI KAGAME

Kikosi cha timu timu ya Simba
Timu ya Simba Sports Club ama wekundu wa msimbazi kama wanavyojulikana wametinga fainali katika michuano ya kagame baada ya kuiondosha timu ngumu ya El-Mereikh ya Sudan kwa changamoto ya mikwaju ya penati baada ya kutoshana nguvu ya bao moja kwa moja ndani ya dakika 90,na badae kuongezwa dakika 30 lakini mambo yakabaki vilevile ndipo ilipoamriwa kupigwa mikwaju ya penati.Katika mikwaju ya penati Simba walimalizia mkwaju wa mwisho na wa ushindi ukipigwa na mafisango na El Mereikh walipokosa mkwaju wa mwisho katika penati ya sita Wekundu wa msimbazi waliamka vitini kwa nderemo na vifijo wakiwa tayari wametinga fainali,shujaa katika mchezo huo alikuwa ni golikipa namba moja tanzania Juma Kaseja baada ya kuokoa mkwaju wa penati na kuiwezesha kutinga fainali.

Umati wa mashabiki wa Simba wakishangilia katika mechi hiyo.
Wekundu hao inawabidi kusubiri mshindi wa leo katika nusu fainali nyingine kati ya wapinzani wao wa jadi Dar Young Afrikans (Yanga) dhidi ya St George ya Ethiopia katika mchezo utakaounguruma katika dimba kuu la taifa jijini Dar Es Salaam.

Shujaa katika mechi hiyo golikipa Juma Kaseja

Wednesday, July 6, 2011

The Greatest Reggae Artist of All Times

While many may not agree with my selection, this reggae artist have certainly contributed to
the reggae fraternity in a major way and should get the respect he deserve. The music that
this artist produced will never die, as the impact made are so great that we are still touched by
his lyrics and sounds.
Bob Marley was born Robert Nesta Marley on Feb. 6,1945 in Saint Ann, Jamaica. His father, Norval Sinclairr1945.Marley, was a white Englishman and his mother, Cedelia Booker, was a black Jamaican. Bob Marley died of cancer in Miami, FL on May 11, 1981. Marley had 12 children, four by his wife Rita, and was a devout Rastafarian.  
         

Bob Marley's father died when he was 10 years old, and
his mother moved with him to  Kingston's Trenchtown
neighborhood after his death. As a young teen, he
befriended Bunny Wailer, and they learned to play music together. At 14, Marley dropped out of school to learn the welding trade, and spent his spare
time jamming with Bunny Wailer and ska musician Joe Higgs




 
         
.
         
         

Tuesday, July 5, 2011

TAKUKURU NI "JOKA LA KIBISA"

Watanzania wengi tuliposikia kuwa serikali imeanzisha taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa (TAKUKURU) tulifarijika sana na tukajua wazi kuwa sasa wale ambao walikuwa wanakula jasho letu na kulitia hasara taifa kwa mikataba feki,matumizi hewa na ujanja ujanja mwingine wakati wao umefika. Hali imekuwa tofauti na matarajio ya wengi kwani chombo hicho nyeti kimeonesha mapungufu makubwa kama sio madhaifu, Kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa zimegundua chombo hiki kuwa na udhaifu mkubwa katika kusimamia kesi na utekelezaji wa kazi zake,imebainika kuwa TAKUKURU imeshinda kesi moja tu na 99% ya kesi imeshindwa na kusababisha hasara ya kuwalipa walioshinda kesi fidia na malimbikizo ya mishahara, Katika hili Taifa linaendelea kupata hasara kutokana na TAKUKURU kutowajibika ipasavyo na inanipelekea kuona sasa chombo hiki hakina tofauti na nyoka wa Kibisa ambaye hana madhara pindi anapokuwa nacheza na binadamu.Naomba serikali itazame upya jinsi ya kuendesha chombo hiki nyeti katika Taifa.

Monday, July 4, 2011

RATIBA NA MATOKEO KOMBE LA DUNIA WANAWAKE.

Group A
Date - Time Venue Results
26/6 19:00 Berlin Germany 2:1 (2:0) Canada


26/06 16:00


Sinsheim                

Nigeria 0:1 (0:0) France

30/06 21:45 Frankfurt/Main Germany 1:0 (0:0) Nigeria

30/06 19:00 Bochum Canada 0:4 (0:1) France

05/07 21:45 Moenchengladbach France Germany

05/07 :4215 Dresden Canada Nigeria

Group B
Date - Time Venue Results
27/06 16:00 Bochum Japan 2:1 (1:1) New Zealand

27/06 19:00 Wolfsburg Mexico 1:1 (1:1) England

01/07 16:00 Leverkusen Japan 4:0 (3:0) Mexico

01/07 19:15 Dresden New Zealand 1:2 (1:0) England

05/07 19:15 Augsburg England Japan

05/07 19:15 Sinsheim New Zealand - Mexico

Group C
Date - Time Venue Results
28/06 19:15 Dresden USA 2:0 (0:0) Korea DPR

28/06 16:00 Leverkusen Colombia 0:1 (0:0) Sweden

02/07 19:00 Sinsheim USA 3:0 (1:0) Colombia

02/07 15:00 Augsburg Korea DPR 0:1 (0:0) Sweden

06/07 21:45 Wolfsburg Sweden - USA

06/07 21:45 Bochum Korea DPR - Colombia

Group D
Date - Time Venue Results
29/06 19:15 Moenchengladbach Brazil 1:0 (0:0) Australia
29/06 16:00 Augsburg Norway 1:0 (0:0) Equatorial Guinea
03/07 19:15 Wolfsburg Brazil 3:0 (1:0) Norway
03/07 15:00 Bochum Australia 3:2 (1:1) Equatorial Guinea
06/07 19:00 Frankfurt/Main Equatorial Guinea - Brazil
06/07 19:00 Leverkusen Australia - Norway

MATUMAINI YA MAN UNITED KUMNYAKA SANCHEZ YAPO MIKONONI MWA FABREGAS

Man United wanamatumaini ya kumnasa Alex Sanchez endapo Kiungo wa Arsenal Czec Fabregas atatua Barcelona.


 Wakati Man United wakiwa na tumaini hilo nae kocha wa Arsenal Arsene Wenger ametenga kitita cha paundi za Uingereza milioni 12 ili kumnasa mshambuliaji wa Wolves Kevin Doyle.


Stoke City wameanza jitihada za kuwasajili wachezaji wawili kutoka Man United ambao ni John O'shea na Wes Brown.


Manchester City wametenga paundi milioni 27 ili kuwanasa kwa mpigo wachezaji wawili wa Arsenal ambao ni Samir Nasri na Gael Clichy.

WAMAREKANI LEO WANAADHIMISHA UHURU.

Umoja wa mataifa ya Marekani "United States of America (U.S.A)" Leo julai 4 wamo katika maadhimisho ya siku yao ya uhuru wa mataifa hayo.

Rais wa Marekani Barrack Obama


Bendera ya Marekani


Ikulu ya Marekani "WHITE HOUSE"


WHITE HOUSE


WHITE HOUSE


Eneo la sanaa na wasanii Marekani "HOLLYWOOD"





Saturday, July 2, 2011

APANDA GHOROFANI KAMA SPIDER

UNAIWEZA HII?
 Guts ni mtu maarufu anaeweza kupanda ghorofani bila kutumia chombo chochote cha kumuwezesha kufika juu ya ghorofa, Hivi karibuni umati wa watu ulijazana katika mtaa mmoja nchini Pakistan kumuangalia anavyoweza kudandadanda kama mpira wa kandanda kukwea kwenye kilele cha ghorofa lililopo nchini humo..hebu icheki hii movie tangu anaanza kupanda mpaka kileleni..ni nooumaaaa!











Hatimae katika picha hii amekamilisha safari yake ya kukwea ghorofani.