Tuesday, July 19, 2011

MFALME ANAPOCHAGUA KIFAA SWAZILAND MAMBO HUWA HIVI

Agosti 31, nchi ndogo ya Swaziland iliyopo katikati ya Afrika ya kusini hufanya sherehe ya mwaka kumtafuta malkia. Wasichana 50,000 hukusanyika karibu na ikulu, wasichana hawa huwa watupu kama walivyozaliwa isipokuwa baadhi tu ya sehemu za mwili huwa zimezibwa huku wakiimba na kupigiza miguu kwa kishindo katika ardhi yenye vumbi jekundu, wakati huo mfalme wa Zulu akiwa amekaa kivulini kwenye hema akiangalia wasichana hao kwa tabasamu la kuopoa kifaa kipya. Sherehe hizi zimejizolea umaarufu kwa wasichana wa kizulu ambao baadhi hutoka mile kadhaa,mfano Durban ili kuja kucheza katika sherehe hiyo ya heshima. Zifuatazo ni picha za sherehe hizo zinavyokuwa.

Wasichana wa kizulu wakipita mbele ya mfalme

Wakiimba na kucheza kwa furaha



Wakipita kwa mbwembwe

Hatime wamesimama mfalme apate kuchagua kifaa chake



FASHION MPYA KWA VIATU VYA KIKE








UAE’s Awana Diab attempts insane penalty kick (and it works)

Monday, July 18, 2011

SIKU YA MATOPE U.S.A

Kila mwaka taifa la marekani watu husherehekea siku ya matope ambayo huazimishwa Nankin Mills kila tarehe 12 julai ndani ya jiji la Westland,Michigan. Katika sherehe hizo galoni za maji zipatazo 20,000 huchanganywa na udongo tani 200 ili kutengeneza tope tayari kusherehekea. zifuatazo ni picha katika sherehe hiyo ijulikanayo kama "MUD DAY"












Saturday, July 16, 2011

KAMA UNAHISI CHAKULA KWENU NI GHALI HII NI GHALI ZAIDI

          HOT DOG YA $ 80

Wiki ijayo Braxton Rox wanatarajia kuingiza katika kitabu cha Guiness Hot Dog ghali zaidi duniani ambayo itauzwa kwa dola za kimarekani 80 ambazo ni zaidi ya shilingi za kitanzania 120,000. Chama cha Canadian-American ambao ni wataalamu wa mchezo wa Baseball watazindua hot dog hiyo 23 julai hukio Massachusetts nchini Marekani. "Njia nzuri ya kusherehekea siku ya Hot Dog kitaifa ni kuwa na kitu kipya sehemu ya mchezo" alisema Mwenyekiti wa Association of Canadian-American proffessional Baseball Chris Carminucci.

Hii ndiyo Hot Dog ya dola 80

Thursday, July 14, 2011

ARGENTINA WALIVYOICHABANGA COSTA RICA COPA AMERICA


Timu ya taifa ya ARGENTINA imetoa kipigo kikali kwa Costa Rica katika mashindano ya Copa America na zifuatazo ni picha za matukio katika mechi hiyo iliyochezwa Cordoba

Higuian alipata nafasi nyingi lakini aliambulia patupu
Di Maria wa Real Madrid akifunga goli lake la kwanza katika Copa America
3.jpg
Joel Campbell, ambaye alikuwa msaada mkubwa kwa Costa Rica licha ya kipigo cha 3-0

4.jpg
Pablo Zabaleta kushoto akiwania mpira na Elizondo wa Costa Rica
5.jpg
Messi akiiwaburuza walinzi wa Costa Rica
6.jpg
Higuian kulia katika jitihada za kutafuta goli bila mafanikio katika mechi hiyo

7.jpg
Aguero akishangilia goli lake la kwanza katika mechi hiyo alitupia wavuni mara mbili

 
8.jpg
Aguero,Messi na Di Maria wakishangilia goli la pili la Aguero
10.jpg
Aguero akifunga goli lake la tatu katika Copa America

11.jpg
Messi akikokota mpira kiulaini bila upinzani wowote kutoka kwa wachezaji wa Costa Rica
Aguero akimnyooshea vidole Messi kuashiria kuwa ndie mwiba wa usiku huo kwa Costa Rica hapo Cordoba

Wednesday, July 13, 2011

KNOW BEAUTIFUL TANZANIAN LODGE IN SINGITA GAME RESERVE

This is a Tanzanian lodge which was named as a best Lodge in the world is found in Singita game reserve in Tanzania,East Africa.

A Canopied Bed

Each cottage has a infinity edge Pool

The lodges two swimming pools lie directly above a watering-hole

One of the lodges gorgeous sitting areas

There are spa yoga and gym facilities


The dining room

A lamp lit dinner on the plains outside the tent camp

A gym in a tent


A private outdoor area

Faru farus luxury villa



One of Faru farus suites

A visitor in a tent

The sasakwa lodge is built in the style of an edwardian manor house

It has nine cottages and a private retreat

A bathroom with panoramic views at sasakwa lodge