Njemba amekuwa mdogo kama "piriton" baada ya kudwakwa akijaribu kuiba kifaa cha muziki ambapo mbinu yake ilikuwa kali sana lakini anashangaa watu wamemshtukiaje?
Friday, September 21, 2012
ABABMBWA AKIJARIBU KUIBA GITAA
Njemba amekuwa mdogo kama "piriton" baada ya kudwakwa akijaribu kuiba kifaa cha muziki ambapo mbinu yake ilikuwa kali sana lakini anashangaa watu wamemshtukiaje?
TBL YAZIKABIDHI SIMBA NA YANGA NDINGA ZAO

Basi walilokabidhiwa mabingwa wa ligi kuu ya Tanzania bara Simba Sports Club.

Basi walilokabidhiwa Dar Young Africans (YANGA)
Thursday, September 20, 2012
CHELSEA YAGAWANA POINTI NA JUVENTUS, MAN U YAIBURUZA GALATASARAY
Oscar akishangilia goli pamoja na wenzake Ramires na David Luiz
Mabingwa watetezi wa klabu bingwa barani Ulaya, Chelsea ya
Uingereza, wakiwa katika dimba la nyumbani la Stamford Bridge, walishindwa
kuifunga Juventus ya Italia katika pambano la Jumatano usiku.
Nyota wa Chelsea alikuwa ni mchezaji Oscar kutoka Brazil, ambaye alifanikiwa kutumbukiza magoli mawili kambani katika kipindi cha kwanza; dakika ya 31 na 33.
Bao la pili liliingia kupitia mkwaju wa mbali, na ambalo lilimuacha kipa wa Juventus, Gianluigi Buffon akiwa amezubaa.
Oscar alisajiliwa na Chelsea hivi majuzi.
Hata hivyo Juventus, mabingwa wa Italia, na ambao hawakushindwa katika mechi 42 za Serie A huko nyumbani, walijikakamua na hatimaye kusawazisha na kujinyakulia pointi moja.
Arturo Vidal aliwafungia bao kabla ya kipindi cha kwanza kumalizika, na baadaye mchezaji wa zamu, Fabio Quagliarella, zikiwa zimesalia dakika tisa mechi kumalizika, alithibitisha Juventus ilikuwa na nia ya kuondoka na angalau pointi moja.
Oscar akifunga goli katika mechi dhidi ya Juventus
Oscar akimdhibiti mkongwe Andre Pirlo
Oscar akitupia Kamba ya pili
Wachezaji wa Juventus wakishangilia goli la kusawazisha
Torres akiwa chini ya ulinzi mkali
Kazi kweli kweli ..Lampard amekamwata
Kati ya mechi nane za Jumatano, Manchester United pia ilikuwa uwanjani kupambana na Galatasaray, na vijana wa Sir Alex Ferguson wakichezea nyumbani, mechi ya kundi G, walipata ushindi wa bao 1-0.
Michael Carrick aliandikisha bao hilo mapema, dakika ya 7.
Klabu hiyo ya Uturuki itadhaniwa na wengi kwamba ilinyimwa nafasi ya kusawazisha, kwa mwamuzi kuwapa penalti, baada ya Nemanja Vidic kumchezea vibaya Umut Bulup.
Picha zikionesha jinsi Carrick alivyomtesa mlinda mlango wa Galatasaray na kutia mpira kambani.
Wachezaji wa Man U wakimpongeza Carrick
Wednesday, September 19, 2012
NGORONGORO CRATER "AFRICA'S GARDEN OF EDEN"
QUICK FACTS ABOUT NGORONGORO CRATER
Largest unbroken caldera in the world
Also referred to as "Africa's Garden of Eden"
Crater is 12 miles (19 km) across and covers 102 square miles (264 sq km)
Rises over 2,000 feet above the caldera floor
Home to over 30,000 animals including the rare black rhino

Ngorongoro Crater is the world's largest unbroken caldera. Often referred to as "Africa's Garden of Eden," the crater is home to over 30,000 animals including elephants, lions, cheetahs, wildebeests, buffaloes, and the rare black rhinos. View Wildlife of Ngorongoro Crater to learn more about the wildlife and View Birds of Ngorongoro Crater to discover some of the many species that are found in the area.
Ngorongoro Crater was created from a volcano that exploded creating the caldera wilderness haven. The crater is 12 miles (19 km) across and consumes 102 square miles (264 sq km) of wilderness. The rim of the crater rises just over 2,000 feet (610 m) above the caldera floor reaching an elevation of 7,500 feet (2,286 m).

ARSENAL YAIADHIBU MONTPELLIER
Arsenal imeanza vyema michuano ya ligi ya mabingwa hatua ya makundi baada ya kuichabanga Montpellier kwa magoli 2-1 nyumbani kwao katika dimba la La Mosson.
Wenyeji ndio walikuwa wa kwanza kuzifumania nyavu za wageni kwa bao maridadi la mkwaju wa penati iliyopigwa na Belhanda katika dakika ya 8 ya mchezo.
Watoto wa London,Arsenal "The Gunners" waliibuka kama mbogo aliejeruhiwa na kusawazisha goli katika dakika ya 15 likitupiwa kambani na Lucas Podolski.
Mtanange uliendelea huku kila timu ikisaka bao la ushindi na kuthibitisha hilo karata zilichezeka vizuri upande wa Arsenal na katika dakika ya 17 Gervinho aliwainua vitini mashabiki wa Arsenal kwa kutupia kambani goli la pili.
Mpaka mapumziko ngoma ilinoga kwa Arsenal kuwa mbele kwa kamba 2 kwa 1 ya Montpellier.Kipindi cha pili hakikuwa na mabadiliko ya matokeo ya mchezo huo uliohudhuriwa na mashabiki wapatao 30,000 katika dimba hilo la Montpellier, na mpaka kipyenga cha mwamuzi kinaenda hewani matokeo yalikuwa Montpellier 1-2 Arsenal.

Podolski akitupia kambani goli la kusawazisha

Podolski akishangilia goli la kwanza

Hapa huendi kokote we mirasta!!!

Gibbs akijaribu kupiga majaro langoni mwa Montpellier

Gervinho akitupia kambani goli la pili

Gervinho akishangilia goli

Montpellier 1-2 Arsenal
REAL MADRID YAICHAPA MAN CITY KWA TAABU
Vicent Company akijaribu kumzuia Christian Ronaldo asilete maafa
Kamba ya Cristiano Ronaldo katika dakika ya mwisho ya mchezo
iliiwezesha klabu ya Real Madrid kuibangua Manchester City magoli 3-2
walipowakaribisha katika uwanja wao wa Bernabeu nchini Uhispania, mechi ya klabu
bingwa barani Ulaya.
Kipa Joe Hart alikuwa mwiba kwa Real Madrid na aliiwezesha Man City kuendelea vyema bila kufungana mabao katika mechi ya Jumanne usiku, hadi Edin Dzeko alipowashangaza wenyeji kwa kupata bao katika kipindi cha pili.
Marcelo alisawazisha, kupitia mpira ambao ulimgusa mchezaji wa City kabla ya
kubadilisha mwendo, lakini City wakafanikiwa kuendelea tena kuongoza baada ya
mkwaju wa free-kick kutoka kwa Aleksandar Kolarov, wakati mpira moja
kwa moja ulielekea hadi wavuni.
Kisha Karim Benzema aliweza kusawazisha, kabla ya Ronaldo kuandikisha bao la tatu na la ushindi katika mechi hiyo, na matokeo yakawa 3-2.
Kisha Karim Benzema aliweza kusawazisha, kabla ya Ronaldo kuandikisha bao la tatu na la ushindi katika mechi hiyo, na matokeo yakawa 3-2.
Kati ya mechi nyingine za klabu bingwa barani Ulaya ilikuwa ni pamoja na mchezo wa Arsenal, ambayo ilianza kampeni yake ya 15 ya mashindano hayo kwa kuwashinda wageni katika michuano hiyo, Montpellier ya Ufaransa.
Timu ya Arsene Wenger ililemewa ugenini baada ya dakika tisa, wakati nahodha Thomas Vermaelen aliposababisha penalti,ambayo ilifungwa na Belhanda, lakini kutokana na magoli mawili ya Arsenal kupatikana kwa haraka katika kipindi cha kwanza, kutoka kwa Lukas Podolski na Gervinho, hali ya mchezo ilibadilika, na Arsenal ikapata ushindi wa magoli 2-1.
Ushindi huo unamaanisha Arsenal na Schalke ya Ujerumani ndio vilabu ambavyo vinaongoza katika kundi B.
Shughuli pevu...Khedira na Kolarov
Yaya Toure akipasua mawimbi huku Essien akimfuatilia kwa karibu zaidi
Tevez chini ya ulinzi mkali
Edwin Dzeko akishangilia bao la pili
Mourinho na Ronaldo wakishangilia goli la tatu na la ushindi lililofungwa na Christiano Ronaldo kwa staili ya kufanana.
Ndio mpira kaka "FAIR PLAY" Mancini na Mourinho wakisalimiana kabla ya mpambano kuanza
REAL MADRID 3-2 MAN CITY
Subscribe to:
Posts (Atom)