Monday, January 20, 2014

CHELSEA YAICHARANGA MANCHESTER UNITED, ET'OO NI NOMAAAAAAAA

Kocha wa Chelsea Jose Mourinho amefunguka kwa kusema kuwa matumaini ya mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Premier, Manchester United ya kulihifadhi kombe hilo msimu huu yametumbukia nyongo, baada ya klabu yake kuishinda United kwa kamba tatu kwa moja.
Nyota wa Cameroon, Samuel Phill's Eto'o alitupia kambani mabao yote matatu na kuandikisha historia yake ya kutupia kambani matatu katika mechi moja (Hat-trik) ya ligi kuu ya Premier.
Chelsea hata hivyo imesalia nafasi ya tatu alama mbili nyuma ya Arsenal na moja nyuma ya Manchester City. 


Et'oo akitupia kambani goli la kwanza kwa kichwa..

Mourinho amesema itakuwa rahisi kwa ngamia kuingia tundu la sindano kuliko Manchester United kushinda taji la ligi kuu msimu huu.

'' Ni vigumu sana. Wao wana alama kumi na nne nyuma ya Arsenal, kumi na tatu nyuma ya Manchester City na kumi na mbili nyuma yetu'' Alisema Mourinho.

''Pengine timu moja isambaratike, lakini kwa timu tatu kusambaratika kwa pamoja, itakuwa vigumu sana. Nadhani kilichosalia ni wao kupigania kumaliza katika nafasi za kwanza nne'' Aliongeza Mourinho.



Nimeuaaaaaaaa
 
Nahodha wa United Nemanja Vidic alipewa kadi nyekudu muda mfupi kabla ya mechi hiyo kumalizika, baada ya kumfanyia madhambi Eden Hazard, naye Rafael da Silve akaonyeshwa kadi ya njano kwa kumjeruhi Gary Cahili dakika moja baadaye.
 
Hata hivyo kocha wa Manchester United, Moyes, alihisa kuwa refa wa mechi hiyo alichukua uamuzi mkali zaidi kwa kuumpa Vidic kadi nyekundu moja kwa moja, huku akikiri kuwa Rafael alikuwa na bahati sana pale refa alimpa kadi ya njano badala ya kadi nyekundu.
Naye Mourinho alimsifu Eto'o mwenye umri wa miaka thelathini na mbili, licha ya kuwa aliwahi kumshutumu kuhusiana na matokeo yake hasa baada ya kuwasili kutoka klabu ya Anzhi Makhachkala mapema msimu huu.

 
Pisha wewe kamba hiyoooooooooooo


Piga hao hata nne alaaaah


Pisha wewe tufanye yetu ebooo


Yeleewiiiiiii

 
This is Et'oo

Friday, January 17, 2014

THANKS FOR BIRTHDAY WISHES

 

 

Yesterday was my birthday, and on Facebook, and in email and via other sites I am associated with, I am getting bombarded with good wishes, including some very tempting offers...I'm trying to be a good boy, I really am.

Even though I am getting older it still makes me feel special to see all the love you are sending my way, thanks for making my day special!

Thank you to all of you for the birthday wishes! I had a great day with my cute little family. I am still stuffy from the wonderful wings and much more that they made for dinner.


Wednesday, January 8, 2014

MAN U KICHWA CHA MWENDAWAZIMU YANYOLEWA NA SUNDERLAND

Timu ya soka ya Manchester United ya uingereza imeendeleza wimbi la kupokea vichapo toka kwa vibonde, ambapo siku ya jana ilipokea kichapo cha mbwa mwizi toka kwa vibonde wa ligi kuu ya Uingereza ya Sunderland cha mabao 2-1 katika dimba la Stadium of Light.


Goli la kwanza la Sunderland lilipatikana dk ya 5 likitupiwa kambani na Gadner, na mpaka mapumziko Sunderland walikuwa mbele kwa bao hilo moja.

Katika kipindi cha pili Januzaj aliisawazishia Man Uited katika dk 55 kabla ya Sunderland kupata bao la pili lililotokana na makosa aliyosababishwa na chipukizi wa Man United Januzaj katika harakati za kuondosha hatari langoni mwake na kujikuta akiusundikiza mpira wavuni katika dakika ya 55

Niachie weweeeee..........



 
SUNDERLAND 2-1 MAN UNITED

Tuesday, December 24, 2013

MERRY CHRISTMAS















































NYASI ZA EMIRATES ZAWAKA MOTO ARSENAL NA CHELSEA ZIKITOSHANA NGUVU

Arsenal FCChelsea FC  
December 23, 2013 
ARSENAL 0-0 CHELSEA
                                                      Emirates Stadium — London
                                                      Referee:‬ M. Dean‎
                                                      Attendance:‬ 60,039‎
               
Petr Cech Mesut Ozil Arsenal Chelsea English Premier League 12242014
 
Peter Cech akimkabili Ozil asilete maafa langoni mwa Chelsea 
 
  
Kama kawaida yake mzee wa kukosa magoli kizembe,Oliver Giroud akishika bichwa lake.
 
  
Kazi kati ya Sagna na Schurrell
 
  
Hapa ni ubabe time baada ya magoli kushindwa kupatikana, misuli sasa weweeee
 
  
Lampard weweeeee...aaagh chupuchupu Lampard awatie njaa Arsenal shuti kali limegonga mwamba.
 
  
Zamu ya Walcott na Willian kupimana ubavu.
 
 
ARSENAL 0-0 CHELSEA