Kilio kilianza pale Kun Aguero alipotupia bao la kwanza dk 16, nae Yaya Toure dk 45 akapigilia msumari mwingine. Kwa mara nyingine tena mwiba ukachomekwa na Aguero dk 47 kabla ya Samir Nasri kuhitimisha mazishi ya Man Utd katika dk ya 50. Goli pekee la kufutia machozi lilitupiwa kambani na Rooney kwa faulo ya kitaaalamu na kuelekez mojz kwa zote kambani. Mpaka mwisho Man C 4-1 Man U.
Mchezo ulikuwa hivi;
Manchester City: Hart 7, Zabaleta 7, Kompany 7, Nastasic 7, Kolarov 7, Jesus Navas 8 (Milner 71 6), Toure 8, Fernandinho 8, Nasri 9, Aguero 8 (Javi Garcia 86), Negredo 8 (Dzeko 75).Wachezaji wa akiba hawakutumika: Richards, Lescott, Pantilimon, Jovetic.
Kadi ya Njano: Nastasic.
Magoli: Aguero 16, Toure 45, Aguero 47, Nasri 50.
Manchester United: De Gea 5, Smalling 6, Ferdinand 6, Vidic 5, Evra 6, Carrick 6, Fellaini 5, Valencia 5, Rooney 6, Young 5 (Cleverley 51 6), Welbeck 6.
Wachezaji wa akiba hawakutumika: Evans, Hernandez, Nani, Kagawa, Buttner, Amos.
Kadi ya Njano: Rooney, Valencia.
Goli: Rooney 87
Mwamuzi: Howard Webb
Aguero akitupia goli la kwanza
Sergio Kun Aguero akishangilia goli
Hekaheka langoni mwa Man Utd
Yaya Toure akitupia goli la pili
Yaya Toure akishangilia goli la pili
Van Parsie akiwa jukwaani akiangalia jahazi la Man Utd likizama
Jamani kweli tunachapwa kama watoto...mhh..................................
Fellaini akichanja mbuga
Makocha katka hali tofauti..kushoto kocha wa Man City Manuel Pellegrini na kulia kocha wa Man Utd David Moyes
Faulo ya Rooney ikielekez kambani
Samir Nasri akishangilia baada ya kuhitimisha msiba wa Man Utd
Benchi la Man UTD Zofli halii...................uuuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Joe Hart akipeana mkono na Rooney baada ya mtanange kumalizika
Inauma lakini....................................................
No comments:
Post a Comment