Dwayne Michael Carter,Jr a.k.a Lil Wayne. mmiliki halali wa mjengo wa kufa mtu wenye thamani ya Shilingi Bilioni 22.5, Mjengo huu upo ufukweni kabisa wa bahari maeneo ya Miami nchini Marekani.






Burudani kama kawa, Keyboard kwa mbaaaaaaaaali



Jikoni


Pakulala si mchezo




Eneo la kukorofishia misosi




Mjengo unavyoonekana upande wa baharini


Hivi ndivyo ambavyo eneo lililopo mjongo huo kwa mbaaaaaaali
No comments:
Post a Comment