LITTLE ROCK,Arkansas.
Little Rock ni mji wenye utajiri mkubwa ikihusisha kuwa na Hospitali kubwa,Taasisi za matibabu na pia mji huu una idadi kubwa ya shule na vyuo vyenye kutoa elimu bora. mji una idadi ndogo ya watu wasio na ajira kwani ni 7.7% kiasi ambacho ni kidogo ukilinganisha na kiasi cha Taifa ambacho idadi ya wasio na ajira ni 9.7% . Chuo cha sayansi ya madawa cha Arkansas ndio kinatoa ajira kwa jamii kwa idadi kubwa na masaa ya kufanya kazi ni Dakika 17.6, mji huu una wakazi 189,515. ukiwa ni mji wa kwanza kwa utajiri, 29 kwa elimu, 22 kwa afya , 61 kwa usalama.
BILLING,Montana.
Mji huu una idadi ya wasio na ajira kwa 6%. una idadi ya watu wanaofikia 103,994. Ni mji wa 65 kwa kutoa elimu bora, wa 41 kwa huduma za afya ,59 kwa kuwa na usalama, ni namba 2 kwa uchumi mzuri. Utajiri wa mji huu unaletwa na hifadhi za Yellowstone,Grand Teton na Little Bighorn.Muda wa kufanya kazi ni dakika 15.
SIOUX FALLS,South Dakota.
Mji huu una mbuga na hifadhi ndani ya eneo la heka zipatazo 2913, Mji huu unaonekana kama ndio kituo cha utamaduni, Na ni mji wenye idadi ndogo ya uhalifu,msongamano mdogo wa magari na idadi ndogo ya uchafuzi wa mazingira huku ukiwa na uwiano wa 13/1 ya wanafunzi na kuufanya kuwa mji bora kwa elimu. Idadi ya watu inafikia 154,997. Ni mji wa 60 kwa elimu bora, 3 kwa afya bora na huduma za afya, 45 kwa usalama, 3 kiuchumi.
SALT LAKE CITY,Utah.
Mji huu una idadi ya watu inayofikia 181,698. Masaa ya kufanya kazi ni dakika 20, ni mji wa 59 kwa kutoa elimu bora, 27 kwa huduma nzuri za afya, 75 kwa usalama, na wa 4 kwa uchumi. Uwapo Salt lake usafiri kufika popote pale kwa urahisi na uhakika ambapo kutoka mjini mpaka uwanja wa ndege ni dakika 10 tu na usafiri upo kila kona ya mji.
TULSA,Oklahoma.
Mji huu una idadi ya watu wapatao 385,635. Muda wa kufanya kazi ni dakika 17.8, Ni mji wa 5 kwa utajiri, 57 kwa usalama, 52 kwa huduma bora za afya, wastani wa walimu nawanafunzi ni 15/1.
Everton waamini wanaweza kuipiku Bayern Munich kumnasa mjapani Usami.
Roma wapo tayari kupandisha dau kufikia paundi za uingereza milioni 8 kumnasa Clichy na kuipiku Liverpool ambayo nayo inamuwania beki huyo wa Arsenal.
Wolves waungana na Sunderland kumuwania Gardner.
Wolves wamhitaji Konchesky toka Liverpool.
Ron Green kwenda Celtic.
Lua lua akataa aamua kuitosa Southampton.
Stoke City wakamilisha usajili wa wachezaji wawili kutoka Birmigham Cameron Jerome na Scott Dann kwa paundi za uingereza milioni 11 kwa wote wawili.
Yobo kwenda Celtic kwa mkopo,taarifa kamili wiki hii.
Guus Hiddink kutua Chelsea,taarifa zaidi wiki ijayo.
Preston kumsajili Chris Iwelumo kutoka Barnley kwa paundi a uingereza 450,000 na Burnley kumsajili Keith Treacy kutoka Preston kwa paundi milioni 1.4.
Liverpool kuwasajili Nzogbia,Zapata,Downing, Adam and Wickham na kuwauza Konchesky,Kyriakos,Poulsen,B Jones,N'gog na pia huenda wakamuuza Aquillan.
Alex Smithies asaini Burnley kwa paundi milioni 1.5 baada ya mazungumzo marefu na Eddie Howe jana mchana na kulipwa paundi 6000 kwa wiki na mkataba wa miaka mitatu.
Newcastle kukamilisha usajili wa Gabriel Agbenlahor ijumaa hii kwa kitita cha paundi za uingereza milioni 7.
Abdoulaye Meite kutua Norwich, pia kumchukua Stephen Caldwell bure.
Reo-Cooker kurudi uingereza na huenda akasaini Westham.
Steve Morisson toka Millwall kwenda Norwich City
Jamie O'hara toka Tottenham kwenda Wolves.
Christophe Samba toka Blackburn kwenda Arsenal.
Ali Al-Habsi toka Bolton kwenda Wigan.
James MarCathy toka Wiga kwenda Liverpool.
Ashley Young toka Aston Villa kwenda Man United.
Matt Jarvis toka Wolves kwenda Aston Villa.
Peter Crouch toka Tottenham kwenda Sunderland.
David Vaughan toka Blackpoolkwenda Albion.
Scott Parker toka Westham kwenda Tottenham.
Rob Green toka Westham kwenda Arsenal.
Carlton Cole toka Westham kwenda Stoke City.
Frederic Piquionne toka Westham kwenda Albion.
DJ Campbell toka Blackpool kwenda Sunderland.
David Jones huru kwenda Stoke City.
Shane Long toka Reading kwenda Newcastle.
Samir Nasri toka Arsenal kwenda Man United.
Emmanuel Adebayor toka Man City kwenda AC Milan.
Kaka toka Real Madrid kwenda Man City.
Mathew Mills toka Reading kwenda Norwich City.
Sam Vokes toka Wolves kwenda Southampton.
Adam Lallana toka Southampton kwenda Newcastle United.
Alex Oxlade-Chamberlain toka Southampton kwenda Arsenal.
Niklas Bendtner toka Arsenal kwenda Juventus.
Richard Dunne toka Aston Villa kwenda Wolves.
Federico Macheda toka Man United kwenda West Bromwich Albion.
Danny Graham toka Watford kwenda Queen's Park Rangers.
Kayle Walker toka Tottenham kwenda Queen's Park Rangers.
Gabriel Obertan toka Man United kwenda Swansea City.
Jimmy Kebe toka Reading kwenda Swansea City.
Defoe kwenda Newcastle kwa paundi za uingereza milioni 8.9
Emily Heskey kurudi Leicester kwa paundi za uingereza 500,000.
Sevilla watoa ofa ya paundi za uingereza milioni 8 kumnasa Denilson toka Arsenal.
Unaweza kuwaita kuwa ndio wachezaji ghali na matajiri,vilevile ukawaita ndio wachezaji bora zaidi duniani. Kwa hivi sasa wachezaji ghali zaidi ni kama ifuatavyo;
1} CHRISTIAN RONALDO, Huyu ndiye mchezaji ghali zaidi aliyegharimu uhamisho wa paundi za uingereza milioni 80, kutoka Man U kwenda Real Madrid. Huu ndio uhamisho ghali zaidi kuwahi kutokea katika soka ambao mpaka sasa bado ni gumzo.
2} RICARDO KAKA, Huyu anasadikika kuwa ndiye mchezaji bora na mwenye kasi aliyewahi kutokea katika ulimwengu wa soka. Ambapo aliigharimu Real Madrid kitita cha Paundi za uingereza milioni 56 kumng'oa katika kikosi cha AC Milan ya Italy. Pamoja na kuwa na kipaji na ujuzi, Kaka hakuweza kuonesha makeke yake akiwa Real kutokana na kuwa majeruhi mara kwa mara lakini hamna shaka anaweza kurudi katika kiwango chake pale atakaporejea katika hali yake.
3} ZLATAN IBRAHIMOVIC, Huyu alikuwa ni mmoja kati ya wachezaji bora duniani,na alikuwa katika kiwango cha hali ya juu katika kipindi cha mwaka 2007-2008 katika msimu wa ligi ya Italy. Alinyakuliwa na Barcelona kwa kitita cha paundi za uingereza milioni 60.7 kutoka Inter Milan ya Italy.
4} FERNANDO TORRES, Huyu ni mmoja kati ya wachezaji bora katika ligi ya Uingereza ambapo mwaka 2007-2008 alishika nafasi ya pili kama mchezaji bora wa ligi kuu Uingereza namba moja akiwa ni Christian Ronaldo. Torres alinyakuliwa na Chelsea ya Uingereza kwa kitita cha paundi za Uingereza milioni 50 kutoka Liverpool pia ya Uingereza. Pamoja na kutokufanya vizuri akiwa Chelsea Torres bado ananafasi ya kufanya vizuri akiwa na Chelsea katika msimu ujao wa ligi.
5} ZINEDINE ZIDANE, Huyu ni mmoja kati ya wachezaji wenye ujuzi "skillfull" duniani, amliichezea Ufaransa mara mbili katika kombe la dunia na kuiwezesha Ufaransa kutinga fainali mwaka 2006.
6} LUIS FIGO, Huyu alikuwa ni ni mchezaji mzuri sana na inaaminika katika kipindi chake alikuwa mchezaji bora duniani ambapo aliigharimu Barcelona kumng'oa kutoka Real Madrid kwa paundi za Uingereza milioni 37.
7} HERNAN CRESPO, Crespo alikuwa ni mchezaji wa hali ya juu kipindi Figo yupo kwenye chati,na inaaminika Crespo ni kati ya wachezaji bora duniani ambapo alinunuliwa kwa paundu za Uingereza milioni 35.5 na timu ya Lazio ya Italy akitokea Parma pia ya Italy.
8} ANDY CAROLL, Huyu alipata uhamisho sio siku nyingi sana ni 2011 kutoka Newcastle kwenda Liverpool zote za Uingereza kwa kitita cha paundi za Uingereza milioni 35.
9} DAVID VILLA, Huyu hivi sasa ndio yupo katika kiwango chake,alipata kiatu cha dhahabu na akiwa ni miongoni wa wafungaji bora katika fainali z kombe la dunia 2010 akiichezea Uhispania. Alinyakuliwa na Barcelona Uhispania kwa kitita cha paundi za Uingereza milioni 34.2 akitokea Valencia pia ya Uhispania. Villa anategemewa kufanya mazuri zaidi kama atabaki Barcelona.
10} GIANLUIGI BUFFON, Ukiongelea golokipa bora katika historia ya soka....Buffon anasadikika kuwa golikipa bora zaidi duniani baada ya Oliver Kahn wa Ujerumani. Huwa haijalishi ni timu gani anachezea ana uwezo wa kupangua michomo ambayo huwafanya wachezaji wenzake warudi mchezoni, alisajiliwa na Juventus kwa paundi za Uingereza milioni 32.6 akitokea Parma zote za Italy. Buffon amemuoa mwanamitindo wa Czeck Seredova.
Ng'ombe aliyekuwa amefungwa katika nyumba moja nchini Sri lanka , haijulikani ni kwasababu alikuwa na njaa au alikuwa na hasira gani ghafla alikata kamba na kuanza kukimbia mitaani na kusababisha taharuki kwa wapita njia kama inavyoonekana pichani. Haikuweza kufahamika mara moja kama baada ya tukio hilo huyo ng'ombe alikamatwa vipi na je kuna mtu aliyejeruhiwa au kuuwawa.
Katika historia ya mwanadamu tunaelezwa kuwa mungu baada ya kuumba kila kitu duniani aliamua na kuumba mtu wa kuvitawala vitu hivyo,ndipo akamuumba Adam na baadaye akaona sio vyema Adamu awe peke yake akaamua kumuumba mwenza wake ndipo akamuumba Hawa. Hivyo Adam akiwa ni jinsia ya kiume na Hawa ni jinsia ya kike ,akawaambia wautawale na kuujaza ulimwengu.Wataujazaje ulimwengu? ni kupitia kujamiiana na hatimae wazae watoto nao waje wazaane na kuujaza ulimwengu.
Kutokana na hilo Duniani watuy tumekuwa tukipendana na kila mmoja na vigezo vyake binafsi katika kupenda lakini leo nina vitu ambavyo wanaume wengi huvipenda kwa mwanamke,kama ifuatavyo;
1} UZURI WA ASILI, hivi unajua kama wanawake Marekani wanatumia dola 200 za marekani kwa ajili ya vipodozi? lakini mwisho wa siku wanaume wamekuwa na mapenzi na wanawake wenye uzuri wa asili,wanapenda ngozi safi na ya asili. wengi wanasema wanapenda kumuona mwanamke katika muonekano uleule muda wote iwe anatoka kulala, au kuoga na hata akiwa kazini sura yake na muonekano unakuwa ni wa asili.
2} MUONEKANO WA TUMBO, Wanaume wengi hupenda tumbo la mwanamke ambalo lipo katika mkao mzuri linaonekana kuendana na mwili wa mwanamke."Napenda tumbo lake" anasema Derke mwenye miaka 30, "Ni la duara" aliendelea, napenda anavyolimaintain na ni laini.
3} UCHANGAMFU, Wanaume wengi wanapenda wanawake wachangamfu,wenye matendo ya kuwafurahisha wanapokuwa wawili,ubunifu wa mambo fulanifulani humfanya mwanaume kuvutiwa na mpenzi wake wawapo wawili ikiwa ni pamoja na wakati wa tendo la ndoa au wanapokuwa wanapunga upepo au wamepumzika. "mke wangu anaimba nje ya key kabisa"anasema Ivan,miaka 38. "anapoimba bafuni,inapendeza ingawa sauti inatisha lakini haiachi kunichekesha"aliendelea kusema juu ya mpenzi wake. Vilevile kucheza wakati mnaposikiliza muziki ni njia mojawapo ambacho mwanaume atapenda amuone mpenzi wake akijaribu kufanya hivyo sio lazima awe anajua sana.
4} NYWELE, Muonekano wa nywele huwavutia sana wanaume,pale ambapo mwanamke anatunza nywele zake na kuwa na muonekano mzuri iwe ni za asili au zilizowekwa dawa au za bandia ili mradi ziendane na jinsi alivyo ambapo zitamfanya apendeze. "Mke wangu ana nywele ndefu sana akiingia bafuni inamchukua masaa mawili kila siku kwa ajili ya nywele tu,ni kitu kizuri" anasema Steve miaka 30.
5} KOPE, "Napenda macho yake"anasema Trevor miaka 46. "wakati mwingine anaponiangalia nikimtazama macho na jinsi kope zilivyo huwa vinanifanya nitamani tuende kitandani moja kwa moja" aliongezea. "macho yake ni moja ya vitu vinavyonivutia kwake,yananifanya niwe na hisia za moja kwa moja kwake"alimalizia.
"Mpenzi wake ana kope za ajabu,ningependa niwe na msichana kama yeye" alisema Vik miaka 26 rafiki yake Seth.
6} MIGUU, Miguu ya mwanamke haijalishi mnene, mwembamba,mfupi au mrefu ili mradi iwe na mwonekano mzuri, "Miguu yake ni laini,napenda vile inavosisimua na wakati anapovaa viatu virefu hakika hunitia wazimu" alisema James 26,alipomuongelea mpenzi wake Sarah.
"mimi binafsi ni mzaifu nionapo miguu,hivyo anapoipitisha katikati yangu huwa siwezi kujizuia,nae anafahamu hilo" alisema David 43. "Napenda miguu ya mwanamke lakini sijui kwanini,miguu ya wanawake ni ya kifahari ambayo sisi hatuna,ninapenda kitu tofauti ndio maana kwanini napenda matiti kwasababu mimi sina" alisema Nate 32.
7} STAILI YAKO, Wanaume huvutiwa na vile mwanamke anavyojua kupangilia viwalo,jinsi ya kujua ni ni cha kuvaa na kwa wakati gani hakika huwavutia wanaume hasa pale mwanamke anapotoka bomba. Lazima ujue ukivaa nini inakufit na kukutoa chicha,pia ujue jinsi ya kupangilia vitu yaani kuanzia viatu,nguo,mikoba,hereni,bangili na hata cheni.
8} MANUKATO, "Sifahamu anawezaje,lakini muda wote ananukia vizuri" alisema Brent 29."Hata kama anatoka kuoga" alisema. "Napenda kumnusa maeneo haya",anasema Damien 35 huku akionesha sehemu za shingoni kwa mpenzi wake. Kuna wanaume wengine wanadiriki kusema huwa hawafikirii mwanamke atavaa nini zaidi ya kufikiria jinsi atakavyonukia.
9} KUSEMA UNACHOTAKA, Katika mapenzi kila mtu ana uhuru wa kusema ni nini anataka mpenzi wake amfanyie na kipi asifanye,ingawaje wanawake wengi hawalifahamu hili kwani imefikia wanachagua vitu vya kuomba na vingine kuona sio haki yao,mfano tendo la ndoa wanawake wengi husubiri mpaka mwanaume aanze kusema yeye kimya. pia wakati wa tendo miguno ya mwanamke na maelekezo ya wapi pa ku kita na wapi pa kupekecha mwanamke anaposema mwanaume hufurahia tendo na kumfanya kumpenda zaidi mwanamke.
10} KAZI YAKO, Mwanamke anaewajibika humvutia mwanaume. wanaume wengi wanasema wanapenda kuwaona wanawake wao wakiwa sehemu zao za kazi wakiwajibika." Anafanya kazi katika shule ya awali,napenda ninapomuona akifundisha na kucheza na watoto" anasema Garisson 42. "mke wangu ni Profesa wa masuala ya wanawake,napenda kumuona akifundisha wanawake wenzake kupata kazi na kupigania haki zao"anasema Samuel 49.