Thursday, January 10, 2013

SWANSEA YAIADHIRI CHELSEA DARAJANI YAILAMBA 2-0

Timu hatari na tishio la vigogo Swansea jana imewaadhiri matajiri wa London Chelsea kwa kuwabangua magoli mawili kwa ubuyu katika mpambano wa kombe la Capital one nchini Uingereza.

Katika mtanange huo mkali na wa kusisimua uliopigwa katika dimba la Stamford Bridge huku ukishuhudiwa na mashabiki wapatao 40,172, ulishuhudia Swansea ikiongoza mashambulizi na washambuliaji hatari Michu na Graham na kuiadhibu vikali Chelsea.

Iliwachukua takribani dakika 38 tu mashabiki wa Chelsea kuanza kuviona viti vichungu pale mfumania nyavu hodari MPC Michu alipotupia kambani goli la kwanza na la kuongoza kwa upande wa Swansea.
Mpambano uliongezeka kasi na kutiwa chachu na Vijana wa darajani kutaka kuchomoa bao huku wageni Swansea wakitia ngumu na wakitaka kuongeza bao ili kujihakikishia ushindi, hamad mungu sio Abramovic wala sio Benitez Mashabiki wa Swansea walilazimika kuachia viti na kuruka hewani kwa furaha na kuamsha makelele pale Mshambuliaji hatari na mwenye akili nyingi D Graham kutikisa nyavu katika dakika ya 90 na kuandika bao la pili kwa Swansea.

Hawa watu Michu na Grahamu hata ukiwauliza mashabiki wa Arsenal watakuambia ni watu gani, hivyo mpaka mwisho wa mpambano Mashabiki wa Chelsea walinyanyuka na kupangusa matako yao na kuondoka vichwa chini huku wale wa Swansea wakitamani kukesha uwanjani kusherehekea ushindi wa 2-0 katika dimba la Stamford Bridge.


Michu akishangilia goli la kwanza


Ivanovic akimdhibiti mchezaji wa Swansea


Graham akimtoka mlinda mlango wa Chelsea


Asipigeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!! Graham akiwapa shida mabeki wa Chelsea.

Ishakuwa sooo!! Ndivyo Fernando Torres anavyowaza baada ya kichapo

Chelsea 0-2 Swansea

Wednesday, January 9, 2013

HAPPY BIRTHDAY ADDAT JUMA

Leo ni siku ya kuzaliwa ya rafiki yangu mpenzi Addat Juma.Ambae alizaliwa tarehe kama ya leo 9 Jan 1983, Amefikisha umri wa miaka 30. Hongera sana Addat.

Addat Juma katika Pozzzzzzzz!!

Napenda kutumia nafasi huu kukutakia maisha marefu yenye amani na upendo.

Because you’re very special
Hope your Birthday holds in store
Happy hours that overflow
With all you’re wishing for,
And hope the days that follow it
Make up a year that brings
Everything that you deserve
A million happy things.
Because today’s your birthday,

And because you’re extra nice,
One wish is not enough for you
And so here’s wishing twice…
Hoping your Birthday’s wonderful
In every single way
And next year brings happiness
For you day after day

Happy Birthday

Tuesday, January 8, 2013

MESSI anyakua tuzo ya Ballon d'or kwa mara ya 4 mfululizo, kikosi cha wachezaji bora 2012

Mshambulizi wa Barcelona na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi ameshinda tuzo ya Ballon d'Or kwa mwaka wa nne mfululizo.

Messi, 25, alifunga jumla ya magoli 91 mwaka wa 2012 na aliwashinda wachezaji wengine Andres Iniesta wa Barcelona na Christiano Ronaldo wa Real Madrid.
The moment of truth: Italy's Fabio Cannavaro shows the envelope with Messi's name as winner
Mapema kabisa nyota wa Italia Fabio Cannavaro akionesha bahasha yenye jina la(Leonel Messi) mchezaji bora wa mwaka tuzo ya Ballon d'or.
Talking a good game: Messi grabs hold of his award during his acceptance speech
Messi akiipapasa zawadi yake wakati akitoa neno la shukrani

Leonel Messi akiwa ameshikilia tuzo ya Ballon d'or muda mfupi baada ya kukabidhiwa
The final three: The Ballon d'Or finalists Cristiano Ronaldo, Andres Iniesta and winner Lionel Messi
Wakali walioingia tatu bora katika tuzo ya Ballon d'or 2012. Cristiano Ronaldo,Andre Iniesta na Messi
Up for it: Proceedings were hosted by Ruud Gullit (L) and Kay Murray
Washehereshaji Ruud Gullit naKay Murray

Doing it for club and country: Messi has been a star for Barcelona and Argentina (below)
Messi akifanya vitu vyake na klabu yake ya Barcelona
Lionel Messi for Argentina
Messi katika uzi wa timu ya Taifa lake Argentina

Licha ya kufunga idadi hiyo ya magoli, timu yake ya Barcelona haikunyakuwa kombe la ligi kuu ya Uhispania ay kombe la klabu bingwa barani Ulaya mwaka uliopita.

Abby Wambach, alishinda tuzo kwa upande wa kina dada naye Vicente del Bosque, akituzwa kuwa kocha bora.

Timu bora ya kwana ilijumuisha wachezaji wanaoshiriki katika ligi ya Uhispania pekee.

Messi alitangazwa mshindi wa tuzo hiyo ya the Ballon d'Or, tuzo ambayo hukabithiwa mchezaji bora wa mwaka katika sherehe iliyofanyika mjini Zurich

Messi alikuwa miongoni mwa wachezaji watatu walioteuliwa na jopo la wandishi wa habari na makocha wa timu za taifa, manaodha wa timu hiyo wakiwa ni pamoja na Iniesta na Ronaldo.

Mesi sasa ni mchezaji wa kwanza kuwahi kushinda tuzo hiyo ya Ballons d'Or, kwa miaka minne mfululizo, rekodi anayoshikilia na aliyekuwa mchezaji wa Ufaransa na rais wa UEFA kwa sasa Michel Platini.
Golden strike: Fenerbahce's Miroslav Stoch won the FIFA Puskas award for goal of the year from former Colombian footballer Carlos Valderrama
Mchezaji wa Fernabahce Miroslav Stoch aliejishindia tuzo ya mfungaji wa goli bora la mwaka (FIFA Puskas Award) pembeni ni mchezaji wa zamani wa Colombia Carlos Valderrama.

Out on her own: Abby Wambach of the USA scooped the female award
Abby Wambach wa USA alishinda tuzo upande wa wanawake

What a team: The Team of the Year was made up entirely of La Liga players
Hii ndio timu bora ya mwaka 2012 ambayo ina wahispania watupu.

Kikosi cha wachezaji bora wa mwaka 2012

•Iker Casillas (Real Madrid)
•Dani Alves (Barcelona)
•Gerard Pique (Barcelona)
•Sergio Ramos (Real Madrid)
•Marcelo (Real Madrid)
•Andres Iniesta (Barcelona)
•Xabi Alonso (Real Madrid)
•Xavi (Barcelona)
•Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
•Radamel Falcao (Atletico Madrid)

Lionel Messi (Barcelona)

MESSI IN 2012: BY NUMBERS

What a year it has been for Lionel Messi. He broke Gerd Muller's 40-year-old record for the most goals in calendar year netting an astonishing 91 times. Aged only 24 he became the first person to score five goals in a single Champions League match in Barcelona's 7-1 win against Bayer Leverkusen in March. And he even started scoring for his country on a regular basis with 12 goals in nine matches for Argentina. Rightfully so he was awarded the 2012 FIFA Ballon d'Or for a third year in a row. Here Sportsmail unveils our Messi stats bonanza...
CLUB AND COUNTRY MATCHES
Total Barcelona matches: 63
Total Argentina matches: 11
Total matches combined: 74
Total Messi played: 69
Matches missed: 5
Total minutes of football Barcelona and Argentina played: 6,660
Total minutes Messi played: 5,973
Minutes missed: 687

LEAGUE DOMINATION
Total Barcelona league matches: 39
Total Messi played in: 38
Total Barcelona league minutes played: 3,510
Total Messi minutes: 3,361
Minutes missed: 149
The striker only failed to score in 10 of 39 league matches in 2012 – so he scored in 75% of Barcelona's league games.

HOW
Goals scored: 91
Left foot: 81
Right foot: 7
Head: 3

AREA
Inside the box: 78
Outside: 13

DEAD BALL
Penalty: 14
Free kick: 7

MINUTES
0-15 minutes: 5
16-30: 18
31-45: 14
46-60: 13
61-75: 17
76-90: 24
Messi didn't score a single goal in the first 10 minutes of matches at all last year.

TEAM
Barcelona: 79
Argentina: 12

COMPETITION
La Liga: 59
Champions League: 13
Copa del Rey: 5
Spanish Supercup: 2
World Cup Qualifiers: 5
Friendlies: 7

MONTH
January: 7
February: 10
March: 13
April: 9
May: 8
June: 4
July: 0
August: 7
September: 5
October: 10
November: 9
December: 9

DISTANCE
Average distance he scored from: 14.8 yards (or 13.5 metres)

TIME OF DAY
Day: 16 goals scored, 571 minutes played, 36 minutes per goal
Night: 75 goals scored, 5,402 minutes played, 72 minutes per goal

MESSI BINGO
There were 37 minutes of the 90 in a match that Messi didn't score in this season. These are the minutes Messi DIDN'T score in during 2012:
1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9, 10, 13, 14, 15, 19, 21, 23, 24, 26, 30, 32, 36, 37, 38, 40, 46, 50, 53, 54, 55, 62, 66, 68, 69, 75, 82, 83, 87.

STADIUMSCamp Nou, Barcelona: 41 goals
Campo de Futbol de Vallecas, Madrid: 4
Campo de Futbol de Vallecas, Valencia: 4
Estadio Riazor, A Coruna: 3
Stade de Suisse, Bern: 3
MetLife Stadium, New York: 3
La Rosaleda, Malaga: 3
Iberostar Estado, Palma de Mallorca: 3
El Arcangel, Cordoba: 2
Coliseum Alfonso Perez, Getafe: 2
Vicente Calderon, Madrid: 2
Estadio Malvinas Argentinas, Mendoza: 2
Luzhniki Stadium, Moscow: 2
Reyno de Navarra, Pamplona: 2
El Sardinero, Santander: 2
Benito Villamarin, Seville: 2
La Romareda, Zaragoza: 2
El Monumental, Buenos Aires: 1
Estadio Mario Alberto Kempes, Cordoba: 1
Commerzbank Arena, Frankfurt: 1
Celtic Park, Glasgow: 1
BayArena, Leverkusen: 1
Santiago Bernabeu, Madrid: 1
Nacional, Santiago de Chile: 1
Ramon Sanchez Pizjuan, Seville: 1
Jose Zorrilla, Valladolid: 1

By Sam Cunningham

HAPPY BIRTHDAY JL MICHAEL MICHAEL


Lucy Michael akiwa amepozzzzz!!

Leo ni siku ya kuzaliwa ya rafiki yangu wa karibu Lucy Michael ambae alizaliwa siku kama ya leo yaani 8-01-.... mwaka muulize mwenyewe sitaki umbea mie.
Katika siku yake muhimu ninapenda kumpatia zawadi ifuatayo na ujumbe utakaodumisha urafiki wetu.

Friendship is not something that is written on paper, because paper can be torn. It is neither something that can be written on a rock, for even a rock can break. But it is written on the heart of a person, and it stays there forever. Birthday wishes and blessings are coming your way, my friend!

Monday, January 7, 2013

FILAMU NZIMA YA SARAFINA

SARAFINA FULL MOVIE

African Actresses To Watch In 2013

African actresses have a lot to offer this year, a projection evident and captured in how a good number of them excelled last year.

This year, we expect more of the continent’s actresses to build on their accomplishments, and be able to stand up to the competition and challenge posed by the growing legion of exceptional female film stars far and wide.

Obed Boafo takes a look (in no particular order) at five of Africa’s female actors for this year. These are, but a few, of the actresses to watch out for in 2013.

Sarah Hassan – Kenya
  Damilola Adegbite (© Facebook)
One-time host of popular Kenyan dance show Sakata, Hassan is the current co-anchor for the Mnet-produced entertainment programme Mashariki Mix.

She is famed locally for her roles in the drama series Changes, I am Slave, Saints, and Tahidi High, in which she played the role of Tanya.

After abandoning her childhood dream of becoming a neurosurgeon, Hassan, 24, has gone on to become one of Kenya’s most respected actresses.

She holds a Bachelor of Science in Actuarial Science from the Jomo Kenyatta University, Kenya.

Lydia Forson – Ghana
 Damilola Adegbite (© Facebook)
Miss Forson is one of few Ghanaian actresses, with a huge popularity base that goes just beyond the number of titles she’s acted in.

The exceptionally beautiful actress continues to attract interest from some of the leading production houses across Africa, making her a hot commodity.

Forson has had a successful career thus far and big things are expected of her in future.

This year, she stars in a new West African-produced movie Kamara’s Tree, produced by US-based Sierra Leonean actor/director Moris K. Sesay, and which also features Nigeria’s Desmond Elliot.

Terry Pheto – South Africa 
 Damilola Adegbite (© Facebook)
The Bold and Beautiful star is one to watch in 2013. Pheto walks into a year that will see her global appeal rise to encouraging numbers, given the mileage and reach the series offers.

A successful actress, who continues to be one of Africa’s most treasured film sweethearts; Pheto is definitely positioned for greater exploits.

Seven years ago, when she starred as Miriam in the Oscar-winning feature film Tsotsi, it was to mark the beginning of a career that would go on to become a story in itself.

To say that Pheto is your average definition of an actress who simply can’t go wrong, will be stating the obvious. She does it so well!

2013 is expected to open up more windows of opportunity for her.

Damilola Adegbite – Nigeria
 Damilola Adegbite (© Facebook)
The 27 year-old gorgeous Nigerian is a screen goddess in the making. After a successful local stage theatre/drama career, Adegbite took to the screens in 2010, acting in the Ghanaian-produced movie Six Hours to Christmas.

Her exceptional performance in the movie brought her string of screen appearances, acting in some of the most well-produced movies of the last two years, as well as some yet-to-be-released titles.

The Bachelor of Science degree in Business Administration graduate who quit the highly-rated West African series Tinsel to concentrate on her screen career, is one of Africa’s most adored female stars of today.

Adegbite is starring in an upcoming romantic comedy Flower Girl.

Danai Gurira – Zimbabwe/US 
 Damilola Adegbite (© Facebook)
The actress/playwright, born to Zimbabwean parents in the US, is one of the continent’s brightest stars abroad.

She stars in the hugely popular series TheWalking Dead. A recognised name in Hollywood, Gurira continues to raise the flag of Africa high in the West, becoming one of the most successful women in the industry.

She is a graduate of the Macalester College and has a MFA from the New York University.

Gurira is winner of a Whiting Writers’ award as well as the Obie and Outer Critics Circle awards for writing. She’s also a proud recipient of the Helen Hayes Award for Best Lead Actress in the play In the Continuum.

She’s starred in movies such as The Visitor, which won her a Best Supporting Actress award at the Method Fest Film Festival; as well as Come and Gone, My Soul to Take, Treme, Restless City, Life on Mars, Ghost Town 3, and Ma’ George among others.

REAL MADRID YAIBANGUA REAL SOCIEDAD,BARCA YAIADHIBU ESPANYOL 4-0

Klabu ya Real Madrid imeweza kufanya vyema katika Ligi kuu ya soka nchini Hispania mara baada ya kuibangua timu ya Real Sociedad kwa magoli 4-3.Magoli ya Madrid yalifungwa na Karim Benzema dk 1,Khedira dk 34  na magoli mawili ya Cristiano Ronaldo dk 67 na 69 huku magoli ya Sociedad yakifungwa na Xabi Prieto dk 8,39 na 75 Xabi alipiga "Hat-trick".


C.Ronaldo akitupia kambani

C Ronaldo akishangilia goli


Benzema akichanja mbuga
REAL MADRID 4-3 REAL SOCIEDAD
 
 

Katika mpambano mwingine Barcelona imeiangushia kichapo Espanyol cha mabao 4-0. Mabao ya Barca yalitupiwa na Xavi dk 9 kabla ya Pedro kuongeza mawili dk 14 na 26 na dakika mbili baadae mchawi wa kutikisa nyavu Leonel Messi alitupia kambani goli la nne dk 28.Mpambano huo uliohudhuriwa na mashabiki wapatao 95000 ulimalizika kwa Barcelona 4-0 Espanyol.


Messi na Sergio wakishangilia goli


Iniesta akichanja mbuga

Barca 4-0 Espanyol