Saturday, July 2, 2011

APANDA GHOROFANI KAMA SPIDER

UNAIWEZA HII?
 Guts ni mtu maarufu anaeweza kupanda ghorofani bila kutumia chombo chochote cha kumuwezesha kufika juu ya ghorofa, Hivi karibuni umati wa watu ulijazana katika mtaa mmoja nchini Pakistan kumuangalia anavyoweza kudandadanda kama mpira wa kandanda kukwea kwenye kilele cha ghorofa lililopo nchini humo..hebu icheki hii movie tangu anaanza kupanda mpaka kileleni..ni nooumaaaa!Hatimae katika picha hii amekamilisha safari yake ya kukwea ghorofani.