Marehemu Rankeem Ramadhani enzi za uhai wake.
Habari za kusikitisha kwa jamii ya wapenda burudani nchini kwamba Dj
Maarufu Nchini "Rankim Ramadhan" Amefariki Dunia Leo Jumatano 6 Novemba
2013 Hospitali Ya Mwananyamala Jijini Dar Es Salaam .
Napenda kutumia nafasi hii kuwapa pole ndugu,jamaa,marafiki na wapenda burudani wote ndani na nje ya nchi, mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu,Mungu ailaze roho ya marehemu Rankeem Ramadhan mahala pema peponi. Inna lillaah waina illah rajooun.