Saturday, July 16, 2011

KAMA UNAHISI CHAKULA KWENU NI GHALI HII NI GHALI ZAIDI

          HOT DOG YA $ 80

Wiki ijayo Braxton Rox wanatarajia kuingiza katika kitabu cha Guiness Hot Dog ghali zaidi duniani ambayo itauzwa kwa dola za kimarekani 80 ambazo ni zaidi ya shilingi za kitanzania 120,000. Chama cha Canadian-American ambao ni wataalamu wa mchezo wa Baseball watazindua hot dog hiyo 23 julai hukio Massachusetts nchini Marekani. "Njia nzuri ya kusherehekea siku ya Hot Dog kitaifa ni kuwa na kitu kipya sehemu ya mchezo" alisema Mwenyekiti wa Association of Canadian-American proffessional Baseball Chris Carminucci.

Hii ndiyo Hot Dog ya dola 80