Tuesday, February 18, 2014

VIDEO YA LEO-NAY WA MITEGO (NAKULA UJANA)

 
Ney Wa Mitego-Nakula ujana

LIGI YA MABINGWA MAN CITY DOMONI MWA BARCELONATimu ya Manchester City itakutana na timu ya Barcelona siku ya leo, Tarehe 18/02/2014 katika kombe la klabu bingwa ulaya katika uwanja wa Etihad Stadium, mtanange huo utakawakutanisha wababe hao wa soka utakua katika sura mpya kwenye historia ya soka la dunia kwani itakuwa ni mara ya kwanza kwa timu hizo kukutana.

Manchester City itamkosa mshambuliaji wake mahiri Sergio Aguero ambaye yupo majeruhi;hivyo kocha Manuel Pellegrini bado ana washambuliaji wakutosha kama Dzeko, Negredo na Jovetic wakati huo huo Barcelona itawakilishwa na nyota wake kama Lionel Messi na Neymar Jr katika mtanange huo wa kugombania kombe la mabingwa ulaya katika hatua ya 16 bora siku ya leo.
city_new_45457.jpg
RATIBA | UEFA Champions League

Leo - Jumanne 18 February 2014
22:45 Manchester City vs Barcelona
22:45 Bayer Leverkusen vs PSG


Kesho - Jumatano 19 February 2014
22:45 Arsenal vs Bayern München
22:45 Milan vs Atlético Madrid