Gomeka
KARIBU Duniakijiji.blogspot.com
Wednesday, November 20, 2013
HUU NI UTAJIRI WA EMMANUEL ADEBAYOR, ANAMILIKI NDEGE
Ndege anayomiliki Adebayor
Adebayor akiwa amekaa juu ya moja kati ya magari anayoyamiliki
Hivi ni vyombo anavyovimiliki Straika Adebayor
Hapana chezea Adebayor ndani ya Motorcycle ya nguvu
Bwawa la kuogelea katika nyumba anayoimiliki Adebayor..kwa mbaaaaaali namuona anayadiba maji.
Aje ajeee...........
Katika pozi na ndinga lake
Safari za hapa na pale hazimpi shida anakwea kapipa kake huyoooooooooooooo
o
Viatu vya mitoko ya hapa na pale..chezea Adebayor weeee
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)