Wednesday, October 9, 2013

HILI NDILO GARI LA MTOTO WA BAKHRESSA LENYE THAMANI YA Tshs 805 MILIONI

Hapana chezea jeuri ya pesa, kama huna sema sina pesa sio useme hela hakuna. Katika hali ya kustaajabisha kwa wale wenzangu na mimi tusiokuwa na hata baiskeli, Mtoto wa Bilionea wa Tanzania Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhressa ajulikanae kwa jina la Yussuf Bakhressa ameingiza nchini gari aina ya Brabus kwa oda maalum sawa sawa na lile linalomilikiwa na mmiliki wa timu kubwa ya soka ya Manchester City ya Uingereza. Gari hilo lililoonekana mjini linasemekana limemgharimu dola la kimarekani 500,000 ambazo ni sawa na Shilingi za kitanzania milioni 805. Cheki kwa uzuri ''ndinga'' hilo.

Gari aina ya Brabus