Wednesday, September 18, 2013

LIGI YA MABINGWA ULAYA VIGOGO WATAKATA MADRID,MAN U PSG ZAFANYA MAUAJILigi ya mabingwa wa Ulaya jana ilianza kwa kasi huku ikishuhudiwa Vigogo katika ligi hiyo wakifanya mauaji ya kutisha, matokeo ya jumla ni kama ifuatavyo:
 
Manchester United 4 - 2 Bayer Leverkusen
Real Sociedad 0 - 2 Shakhtar Donetsk
Galatasary 1 - 6 Real Madrid
Kobenhavn 1 - 1 Juventus
Benfica 2 - 0 Anderlecht
Olympiacos 1 - 4 PSG
Bayern Munich 3 - 0 CSKA Moskva
Viktoria Plzen 0 - 3 Manchester City

Manchester united na Real Madrid zafanya mauaji.
Manchester United iliilamba Bayer Leverkusen mabao 4-2 katika mchezo uliopiigwa katika dimba la Old Trafford. Magoli ya Manchester yalitupiwa kambani na 
Wayne Rooney (21)
Robin van Persie (58)
Wayne Rooney (69)
Antonio Valencia (78)
Na yale ya Leverkusen yalifungwa na 
 Simon Rolfes (53)
Omer Toprak (87)
 
  
 
Wayne Rooney akishangilia goli
 
Van PERSIE akishangilia
 
 
Fellaini kibaruani
 
Hapa kazi tuuu
 
MAN UTD 4-2 B LEVERKUSEN

Real Madrid nayo imeipatia kichapo Galatasaray kwa mabao 6-1, mabao ya Madrid yakitupiwa kambani na
Alarcon Isco (32)
Karim Benzema (53)
Cristiano Ronaldo (62)
Cristiano Ronaldo (65)
Karim Benzema (80)
Cristiano Ronaldo (90)
 
 
 
Ronaldo na Bale wakishangilia ushindi
 
Pepe akiwajibika ipasavyo
 
Drogba hoi kwa kichapo

 
GALATASARAY 1-6 REAL MADRID

 
OLYMPIACOS 1-4 PSG

 
BAYERN MUNICH 3-0 CSKA MOSCOW

  
PLZEN 0-3 MAN CITY