Timu ya taifa ya ARGENTINA imetoa kipigo kikali kwa Costa Rica katika mashindano ya Copa America na zifuatazo ni picha za matukio katika mechi hiyo iliyochezwa Cordoba
Joel Campbell, ambaye alikuwa msaada mkubwa kwa Costa Rica licha ya kipigo cha 3-0
Pablo Zabaleta kushoto akiwania mpira na Elizondo wa Costa Rica
Messi akiiwaburuza walinzi wa Costa Rica
Higuian kulia katika jitihada za kutafuta goli bila mafanikio katika mechi hiyo
Aguero akishangilia goli lake la kwanza katika mechi hiyo alitupia wavuni mara mbili
Aguero,Messi na Di Maria wakishangilia goli la pili la Aguero