Wednesday, January 2, 2013

REST IN PEACE JUMA KILOWOKO "SAJUKI"

Msanii maarufu wa Filamu hapa nchini Juma Kilowoko (Sajuki amefariki dunia leo Alfajiri akiwa amelazwa katika hospitali ya Muhimbili iliyopo jijini Dar es salaam.
Napenda kutumia fursa hii kutoa pole kwa ndugu,jamaa na marafiki kwa msiba huu mzito uliowakuta pia nitoe pole kwa Bongo Movies kwa kuondokewa na kiungo muhimu katika tasnia hiyo ya filamu za kibongo. Mungu awatie nguvu ndugu,jamaa na mafafiki hususani mke wa marehemu Wastara katika kipindi hiki kigumu, Mungu ailaze roho ya mpendwa wetu Juma Kilowoko a.k.a SAJUKI mahali pema peponi,AMIN.

Sajuki enzi za uhai wake


Sajuki na mkewe Wastara enzi za uhai wake


Sajuki enzi za uhai wake alipokuwa akisumbuliwa na maradhi.