Wednesday, August 16, 2017

MICHEZO YA PIKIPIKI HATARI ZAIDI DUNIANI


WAFAHAMU WAANZILISHI WA YOUTUBE

Youtube ni mtandao wa kimarekani unaohusika au kurahisisha shughuli za kubadilishana na kushirikishana kuangalia video mtandaoni. Youtube ilianzishwa na Vijana watatu waliokuwa wafanyakazi wa Paypal, ambao ni Chad Hurley, Jawed Karim na Steve Chen. Ilikuwa 14 february 2005 huko San Mateo katika jimbo la California nchini Marekani. Kwasasa nakao makuu ya Youtube yapo San Bruno, California.