Tuesday, December 24, 2013

MERRY CHRISTMASNYASI ZA EMIRATES ZAWAKA MOTO ARSENAL NA CHELSEA ZIKITOSHANA NGUVU

Arsenal FCChelsea FC  
December 23, 2013 
ARSENAL 0-0 CHELSEA
                                                      Emirates Stadium — London
                                                      Referee:‬ M. Dean‎
                                                      Attendance:‬ 60,039‎
               
Petr Cech Mesut Ozil Arsenal Chelsea English Premier League 12242014
 
Peter Cech akimkabili Ozil asilete maafa langoni mwa Chelsea 
 
  
Kama kawaida yake mzee wa kukosa magoli kizembe,Oliver Giroud akishika bichwa lake.
 
  
Kazi kati ya Sagna na Schurrell
 
  
Hapa ni ubabe time baada ya magoli kushindwa kupatikana, misuli sasa weweeee
 
  
Lampard weweeeee...aaagh chupuchupu Lampard awatie njaa Arsenal shuti kali limegonga mwamba.
 
  
Zamu ya Walcott na Willian kupimana ubavu.
 
 
ARSENAL 0-0 CHELSEA