Monday, July 11, 2011

ALLYSA CAMPANELLA MISS U.S.A 2011

Allysa Campanella mwenye umri wa miaka 21 ameshinda taji la miss U.S.A 2011 akiwa anawakilisha jimbo la California, shindano hilo la urembo lilifanyika Las Vegas siku ya jumapili 19 juni 2011. Allysa alivalishwa taji hilo la urembo na mrembo aliemaliza muda wake Rima Fakih. Allysa alizaliwa na kukulia New Jersey, ambapo mwaka 2007 aliiwakilisha New Jersey katika mashindano ya urembo ya Wasichana wadogo, Allysa sasa ataiwakilisha U.S.A katika mashindano ya urembo ya dunia yatakayofanyika Sao Paulo,Brazil 12 septemba 2011.

No comments:

Post a Comment