Monday, July 4, 2011

MATUMAINI YA MAN UNITED KUMNYAKA SANCHEZ YAPO MIKONONI MWA FABREGAS

Man United wanamatumaini ya kumnasa Alex Sanchez endapo Kiungo wa Arsenal Czec Fabregas atatua Barcelona.


 Wakati Man United wakiwa na tumaini hilo nae kocha wa Arsenal Arsene Wenger ametenga kitita cha paundi za Uingereza milioni 12 ili kumnasa mshambuliaji wa Wolves Kevin Doyle.


Stoke City wameanza jitihada za kuwasajili wachezaji wawili kutoka Man United ambao ni John O'shea na Wes Brown.


Manchester City wametenga paundi milioni 27 ili kuwanasa kwa mpigo wachezaji wawili wa Arsenal ambao ni Samir Nasri na Gael Clichy.

No comments:

Post a Comment