Wednesday, August 3, 2011

KONA YA WATU MAARUFU( OBAMA NA FAMILIA YAKE)

Rais Barrack Obama akiwa na mkewe Michelle pamoja na watoto wao,Sasha 10 na Malia 13 wakifuatilia mechi ya Fainali ya kombe la dunia la wanawake ambapo Marekani ilikuwa ikicheza.



Rais Obama na familia yake, mkewe Michelle na mabinti zake Sasha na Malia wakiwasili katika kanisa la Mt John wakikatiza katika mitaa ya Washington D.C wakitokea ikulu.



Rais Obama akimuangalia binti yake Sasha akimsalimia Rais wa China Hu Jintao kabla ya hafla ya chakula cha usiku.



Wakati Obama na Michelle wakisaidiana kusoma hadithi za watoto kwa sauti,mabinti zao Sasha na Malia wamekaa pembeni wakiwasikiliza, ilikuwa tarehe 25 aprili ambapo huadhimisha siku ijulikanayo kama White House's annual Easter egg roll.




Rais Obama,Sasha na Malia wakimsuprise Michelle Obama katika siku yake ya kuzaliwa alipotimiza miaka 47 katika shule ya Stuart Hobson Middle School in Washington, D.C. ambapo obama alitoa mkono kwa heshima katika siku ya Martin Luther King jr.



Rais Obama na binti yake Malia wakipata ice cream huko Kailua,Hawaii.


Rais Obama na familia yake wakishiriki kuimba nyimbo siku ya Christmas mwaka jana


Rais Obama na binti yake Sasha wakijiachia katika fukwe za Gulf


Sasha akimsaidia baba yake kusalimia askari wa anga wa Panama


Rais Obama na binti yake wakitabasamu wakati wakiangalia mechi ya mpirea wa kikapu kati ya Washington Mystics na Tulsa Shock jijini Washington


















No comments:

Post a Comment