Tuesday, August 2, 2011

KONA YA WATU MAARUFU

Rihhana ndani ya bikini na kofia ya asili alipokuwa kijijini kwao nchini Barbados alipozaliwa katika kuazimisha siku maarufu nchini humo ijulikanayo kama Kadoomant Day Parade.



J Lo akiwa katika maisha mapya ya u-single,hapa akiwa amembeba mwanae Emma mwenye miaka 3 na Max hayupo pichani wakiwa katika hifadhi moja ya Atlanta jumapili iliyopita alipokuwa akichukua picha za filamu yake mpya "WHAT TO EXPECT WHEN YOU'RE EXPECTING"



Jennifer Antison na Beau Justin wakiwa katika mitaa ya Hawaii jumapili iliyopita.



Mjamzito Jessica Alba akiwa katika onesho la filamu mpya jijini Los Angeles siku ya jumapili.



Anna Kendrick akifurahia keki aliyoandaliwa wakati wa siku yake ya kuzaliwa,Hafla hiyo ilifanyika ndani ya klabu ya usiku ya Vanity iliyopo katika Hoteli ya Rock Hotel & Casino jijini Las Vegas, Kendrick alitimiza miaka 26.



Angelina Jolie na Bradd Pitt wakiwapungia mikono mashabiki wao jijini London walipokuwa wakielekea kwenye tamasha la filamu la Sarajevo.






No comments:

Post a Comment