Friday, October 28, 2011

MSANII HUYU NOMA APANGA VIKOMBE VYA KAHAWA NA KUTOA TASWIRA

Msanii mmoja wa Australia katika jiji la Sydney Monalisa amefanikiwa kupanga vikombe vya kahawa vipatavyo 3,604 na kutoa taswira yake katika umbo kubwa na linaloonekana vizuri.

No comments:

Post a Comment