Wednesday, February 29, 2012

BREKING NEWS:Ajali ya basi yaua 9 Mwanza

AJALI YAUA 9 MWANZA
Ajali ya barabarani imetokea majira ya saa 5 za asubuhi hii pale basi la abiria la kampuni ya Zakaria likitokea Mwanza kuelekea Musoma lilipogongana uso kwa uso na gari dogo la abiria aina ya Toyota Noah (old model).
Katika ajali hiyo watu tisa(9) wamepoteza maisha papo hapo. Habari zaidi hapahapa.

No comments:

Post a Comment