Friday, December 21, 2012

GODBLESS LEMA AIBUKA KIDEDEA ARUDISHIWA UBUNGE

Mahakamani leo . . . . Wakati wa hukumu ya Lema
Lema akiwa na Freeman Mbowe,Nassari na Mnyika mahakamani leo asubuhi kusikiliza matokeo ya kesi ya Lema ambapo Lema aliibuka kidedea

Mbunge akitoka Mhakamani . . . . . . VIDOLE JUU
Furaha pamoja na wafuasi wa CHADEMA baada ya kushinda rufaa.

No comments:

Post a Comment