Tuesday, September 17, 2013

AHMED MGENI AFARIKI DUNIA, KUZIKWA LEO ZANZIBAR


 
Ahmed Mgeni enzi za uhai wake

Mwanamuziki mahiri wa muziki wa Taarabu nchini Ahmed Mgeni amefariki dunia majira ya alfajiri saa 12:30 huko Zanzibari baada ya kuugua kwa muda mrefu. Habari za kuthibitishwa zimeleza kuwa marehemu atazikwa leo alaasiri katika makaburi ya Mwanakwerekwe huko Zanzibar.

1 comment:

  1. pia naomba usikose kutembela hapa. www.shaabanmpalule.blogspot.com,www.baloziwademokrasia.blogspot.com,www.missdemokrasia.blogspot.com, pia waweza kunitumia matukio kupitia email:missdemokrasiatanzania@yahoo.com,mawasiliano ya simu ya: +255-713/767-869133

    ReplyDelete