Tuesday, September 17, 2013

HUYU NDIO JAQUILINE WOLPER, DEMU MKALI SWAGA ZA NGUVU

Jacline Wolper, katika warembo wa Bongo ninaowakubali kwa swagga basi ni Wolper, hakika ni demu mkali na anaejua kupangilia vitu vikali, kwa kifupi hajiangushi kila anapofikiria suala la kupiga pamba...ili kuthibitisha maneno yangu cheki pic zifuatazo..aaaah Wolper aaaaah haya bhanaaaaa wanafaidi mhhhhhh!!!






No comments:

Post a Comment