Thursday, November 21, 2013

MJENGO WA LIL WAYNE UNA THAMANI YA 22.5 BILIONI..UTAZAME


Dwayne Michael Carter,Jr a.k.a Lil Wayne. mmiliki halali wa mjengo wa kufa mtu wenye thamani ya Shilingi Bilioni 22.5, Mjengo huu upo ufukweni kabisa wa bahari maeneo ya Miami nchini Marekani.













Burudani kama kawa, Keyboard kwa mbaaaaaaaaali







Jikoni




Pakulala si mchezo








Eneo la kukorofishia misosi









Mjengo unavyoonekana upande wa baharini




Hivi ndivyo ambavyo eneo lililopo mjongo huo kwa mbaaaaaaali

No comments:

Post a Comment