Friday, November 22, 2013

P-SQUARE WATINGA JIJINI JANA USIKU TAYARI KUFANYA MAKAMUZI KESHO

Wale wakali wa muziki toka nchini Nigeria mapacha wawili wanaounda kundi la P-Suare wamewasili jana usiku nchini Tanzania tayari kwa kupiga show la nguvu jijini Dar es salaam. 
Tazama walivyopokelewa katika uwanja wa ndege wa Mwl Julius Kambarage Nyerere.


P-Square wakiwasili katika uwanja wa Mwl J.K Nyerere.


Mahojiano na kituo cha East Africa Radio ambao ndio wenyeji wa wanamuziki hao.


Umati wa mashabiki wa muziki waliofika kuwalaki


Wakielekea Hotelini kupumzika tayari kwa show siku ya Jumamosi katika viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment