Wednesday, March 5, 2014

WHATSAPP KUANZA KUPIGA SIMU BAADA YA KUNUNULIWA KWA DOLA 19 BILIONI

Mambo mengine ni rahisi kunena kuliko kuandika.Baada ya Facebook kununua mtandao wa kutuma ujumbe mfupi, Whatsapp kwa bilioni 19 dola za kimarekani, sasa huduma hiyo itaanzisha huduma za kupiga simu baadaye mwaka huu.

 

No comments:

Post a Comment