Thursday, January 26, 2012

Liverpool 2-2 Man City, Liverpool yatinga fainali kombe la ligi



Bellamy akitia kambani  katika mechi hiyo

Liverpool waliweza kujitutumua baada ya kuwa nyuma na kupata sare iliyoipeleka fainali na kuisukuma nje Man City katika kombe la ligi baada ya kupata ushindi wa jumla ya 4-3 ambapo katika mchezo wa kwanza Liverpool iliichabanga Man City 1-0.

No comments:

Post a Comment