Thursday, January 26, 2012

Barcelona 2-2 Real Madrid, Real yatupwa nje kombe la Mfalme



Real Madrid walifanikiwa kusawazisha magoli mawili baada ya kutoka mapumziko wakiwa wamechapwa 2-0, lakini pamoja na juhudi za kusawazisha na kutoka sare na Barcelona Real Madrid wamejikuta wakitupwa nje ya mashindano ya kombe la mfalme kwa jumla ya bao 4-3 baada ya kuchapwa 2-1 katika mechi ya kwanza.
Barcelona 2-2 Real Madrid

No comments:

Post a Comment