Thursday, January 23, 2014

ASHA MUHAJI APEWA SHAVU SIMBA SPORTS CLUB EZEKIEL KAMWAGA KATIBU MKUU MPYA

clip_image002Ezekiel Kamwaga katibu mkuu mpya Simba Sports Club


Asha Muhaji Afisa habari mpya Simba Sports Club

Ezekiel Kamwaga amepandishwa cheo na kuwa katibu mkuu mpya wa Simba Sports Club kuchukua nafasi ya Evodius Mtawala ambaye amepata shavu TFF na hivi sasa ni mkurugenzi wa wanachama na sheria.

Wakati Ezekiel akipata shavu hilo nafasi yake imechukuliwa na Asha Muhaji.

No comments:

Post a Comment